Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,202
Siyo kwamba alikuwa mzuri sana hapana ila kuna vitu frani nilikuwa napata kutoka kwake kule kujari kwake na kuona dhamani yangu ndio kitu pekee nimemisi hakukuwa na simu kama sasa hivi kusema muda wowote alikuwa na nafasi ya kunitafuta ,
Lakini pale alipopata nafasi alinikumbuka kwa barua yenye maneno matamu ilihali tulikuwa na nafasi ya kuonana walau mara moja kwa siku alikuwa ni mrembo wa sura bila make up,wala kusuka lakini bado alikuwa anavutia.
Hakika wakati si ukuta ukipita umepita zile ahadi tulizowekeana zote zimekuwa kama karatasi upepo ulipofuma na zenyewe zikapeperuka.