Msaada wa chupi na brazia nzuri kwa mwanamke

Msaada wa chupi na brazia nzuri kwa mwanamke

Llio 002

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
1,639
Reaction score
2,078
Habari wa jf, natumani wote nyiye ni wazima sasa nilikuwa naomba hasa kwa wanawake wanisaidie aina za chupi nzuri zilizo kwenye trend kwa sasa hivi pamoja na brazia nzuri lengo ni kumnunulia zawadi mpenz wangu. Naomba unitajie aina ya chupi ikiwezekana hata picha pamoja na sehemu wanapouza na hata bei kama ikiwezekana wakuu.Naomba kuiwasilisha kwenu hili ombi langu

Msisahau mimi ni mwanaume jamani
 
Nunua pyhum nunua nguo nunua chochote ila sio brazia na chupi hapo kuachika rahisi mpe hela tu akanunue
 
Mimi ni me nakupa ushauri.

Mnunulie ile ya mikanda mikanda inapita katikati ya mfereji wa makalio hiyo hata akivaa suruali haijichori mistari ya chupi.

Mimi huwa napenda hizo ukimnunulia itapendeza kwa kuwa ni mpenzi tu bado sio mke huwezi jua siku moja......teh teh
 
Siku moja nini tena boss?

Never guarantee a woman mkuu, usidhani kigezo ni pesa peke yake, mwanamke unaweza mnunulia gari la milioni 80 lakini akapigwa na jamaa anaemzibia pancha.

akili zao wanazijua wenyewe, mwanamke anaweza akampenda mtu jinsi tu yule mtu anavyotembea, au anavyocheka, mfano hai mimi niliwahi pendwa na mtoto mkali wakati huo ndo nilikua na balehe so besi kama lote, yule mtoto alinielewa kisa tu navounguruma sikuwahi kumpa hata mia yangu mbovu yani yeye ndo alikua ananihangaikia mimi, kuonana yeye ndo ananitafuta mimi sina habari nae ila yeye sasa utasema nili mloga.
Huna uwezo wa kumvua demu wangu chupi vigezo vyako bado viko chini sana kijana
 
Back
Top Bottom