Binti/mwanamke ,yupi kati ya hawa watatu akikuacha utaumia zaidi?

Jan-uary

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
967
1,015
1:Aliyekubikiri sehemu husika
2:Aliyekubikiri sehemu isiyohusika
3:Aliyekuzalisha(lakini alikukuta huna bikra zote)
______________________________________
Juzi nilimsikia mpangaji mwenzangu akiongea kwa simu,alikuwa akimlalamikia mwanaume ambaye alimbikiri sehemu isiyohusika halafu kambwaga,ni mama mwenye watoto watatu,nikajiuliza maswali huyu kaachwa na wanaume kadhaa waliomzalisha na ambao hawakumzalisha, kwanini aumie sana kwa huyu ambaye amesepa zake na hajamwachia mzigo wowote(mtoto),je kaumia Sana kwasababu ya nilichokisikia akikitamka au kitu gani?ndipo nikaona nije kwenu wanawake na wanaume ambao mlishawahi kukumbana na mambo Kama haya.
MWANAUME--ulipomtema uliyembikiri sehemu husika na ulipomtema uliyembikiri sehemu isiyohusika au zote mambo yalikuwaje?
 
Hilo jibu kama umri wangu ni binti aliyenibikiri K Matata sio tuu itaniuma bali sitotaka kuonana nae wala kuwasilinana nae tena maana nataona amenichezea na alitaka bikira tuu.

Kama ningetolewa K Matata nikiwa matured aaagghh waalah hata hainiumi,akiondoka yeye anakuja mwingine anaziba nafasi maisha yanasonga.

Sipendi habari ya ku.fi.ra.na na mwanaume anayenigusia hilo tangu niko mschana hadi sasa kwangu anakuwa mfu namsahau na kukaa nae mbali maana sina IJARA nae tena.

Nashukuru Mungu hadi saa hii sijaachiwa kiumbe tumboni japo nilipomachua nilikuwa natumia vizuia mimba ili kuwa huru na sex, hivo sina maumivu na Hiyo hali, na ikitokea kwa sasa walaw sitaumia maadam nina uwezo wa kumlea mwanangu baaas.

K' Matata.
 
Mbwembwe nyingi JF zilinifanya Nikae mbali nikijua una mme au mtoto kumbe bado, sasa naanza kusogea taaaratibu bila hofu yoyote mpaka nihakikishe nimejichotea mke.
 
Kwa mtazamo wangu, aliyebikiriwa sehemu isiyohusika huyo lazima amchukuie huyo mwanaume maisha yake yote. Kwa sababu atakuwa amemuachia mzigo mkubwa sana.

Aliyebikiriwa sehemu husika with no time atapata mwingine wa kumsahaulisha machungu.

Aliyezalishwa sio tatizo. Bahati nzuri watoto hawafichiki, atapata tu wa kuendeleza nae maisha.

Ila huyu mwenzetu aliyebikiriwa sehemu isiyohusika kazi anayo. Kwanza itakuwa ni fedheha kwake katika mahusiano yake mapya hata akipata mwanaume mwingine. Pili, anaweza kuwa kila siku anaachwa wanaume wakigundua kuwa hana hiyo bikra nyingine. Tatu, itamchukua muda mpaka kumpata mwanaume atayefurahia kutolewa kwake kwa bikra sehemu isiyohusika.
 
Hilo jibu kama umri wangu ni binti aliyenibikiri K Matata sio tuu itaniuma bali sitotaka kuonana nae wala kuwasilinana nae tena maana nataona amenichezea na alitaka bikira tuu.

Kama ningetolewa K Matata nikiwa matured aaagghh waalah hata hainiumi,akiondoka yeye anakuja mwingine anaziba nafasi maisha yanasonga.

Sipendi habari ya ku.fi.ra.na na mwanaume anayenigusia hilo tangu niko mschana hadi sasa kwangu anakuwa mfu namsahau na kukaa nae mbali maana sina IJARA nae tena.

Nashukuru Mungu hadi saa hii sijaachiwa kiumbe tumboni japo nilipomachua nilikuwa natumia vizuia mimba ili kuwa huru na sex, hivo sina maumivu na Hiyo hali, na ikitokea kwa sasa walaw sitaumia maadam nina uwezo wa kumlea mwanangu baaas.

K' Matata.
Kama mtu akikugusia anal unamsahau hiyo inamaanisha hakuna mtu uliyewahi mpenda kiukweli aligusia anal.
Waliogusia uliwapenda kizushi tu.

Siku mtu unayempenda kweli akigusia anal waweza kuta unakubaliana naye
 
Back
Top Bottom