Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ni Sikh nyingine tena niliyoitenga kuwapa wasiyoyajua wanajf wenzangu. kama ilivyokawaida dunia ina mengi sana ya kushangaza na kustaajabisha. Moja ya mambo usiyajua wewe msomaji wa Uzi huu ni...
6 Reactions
102 Replies
11K Views
“Scientists have found that babies sometimes cry at night to prevent their parents from making another baby “ “ Wanasayansi wamegundua ya kwamba muda mwingine Watoto wadogo hulia Usiku kuzuia...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Leo nina swal muhimu sana kwa wanawake wote tz samahan kwa nitakao wakela ila nataka kuelewa! Ni kwanini wanawake wengi waliopo kwenye ndoa,uhusiano au mapenz wengi wao huwaza kua mume wake ndiyo...
5 Reactions
51 Replies
7K Views
Habarini, Jamani siku hizi wadada wa kazi hawakai, akija baada ya mwezi utasikia naondoka, sababu ni nini? Tupeane mawazo ili tusaidike. Sent using Jamii Forums mobile app
6 Reactions
142 Replies
15K Views
Nazungumzia sifa maalum ambayo ipo constantly kwa mwanamke katika kuchagua mwanaume haipo! Hata wanawake nao hawajui, ukimuuliza mwanamke anapenda mwanaume gani; utasikia; "Oooh mimi napenda, awe...
18 Reactions
71 Replies
9K Views
Mzazi mwenzangu ambaye naishi naye, wiki ilopita lisafiri kidogo kuelekea nyumbani. Kwabahati nzuri nyumbani kwako na kwetu Ni mji mmoja. Sasa leo wakati tunachati asubuhi akajikuta ametuma namba...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
1. AL- MUKHTALIA ni mwanamke anaependa kuomba Talaka kila wakati ama mwenye kupenda kumwambia mumewe nirudishe kwetu wachaane kila mara. 2. AL- MUTABAHIA ni Mwanamke mwenye majisifu kwa mavazi...
6 Reactions
34 Replies
12K Views
Sasa ipo ivo kuna mdada nilimwona status ya rafiki yangu wa kike nikaomba namba nikapewa nilivyomcheki hakuzingua akawa ana respond vizur tuu nikamwomba picha akanitumia anaonekana mzuri kweli na...
5 Reactions
96 Replies
9K Views
Hapa Rainbow Dodoma saiz tinacheki Game la Arsenal kama unaweza jongea basi fanya hivyo...Kula kunywa juu yangu(free)
2 Reactions
1 Replies
644 Views
Hotuba ni nzuri imejitosheleza *HOTUBA YA RAIS JPM KWENYE SADC* Ladies and Gentlemen; I feel greatly honoured and yet privileged to be given this rare opportunity to address this Assembly for...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Hii tabia kila siku nailaani sana hasa nikiwa nimebaki peke yangu. Pamoja na kuwa na wanawake wenye sifa lkn bado hii tabia inanisumbua sana. Hivi sasa shetani kaniongoza katika wanawake wenye...
6 Reactions
75 Replies
9K Views
Habari zenu wakuu, Huu ni uzi maalumu wa kuandika nyimbo nzuri za kuingilia ukumbini maharusi. Kama una idea ya wimbo mzuri ambao maharusi wakiingia nao basi lazima watu wengine wasimame kuimba...
0 Reactions
95 Replies
30K Views
Ni kama utani .. Ulianza kunitext . tukakaa for years as friends. Tukazidi kushibana. Tuliwasiliana kipindi kirefu bila kuonana.. Primary classmate. Hustle zetu zikatufikisha katika vyuo...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Jaman vijana kwa wababa na watoto mnaosoma kila mtu apambane kwa nafasi aliyonayo pesa tutafute PESA PESA NDO KILA KITU
3 Reactions
18 Replies
2K Views
UKWELI HUU HAPA Hakuna mwanamke asiyeweza kumtimizia mwanaume lile hitaji halisi la kingono, wala hakuna mwanamke anayeweza kumtimizia mwanaume hilo hitaji zaidi ya mwingine, haijalishi maumbile...
5 Reactions
41 Replies
11K Views
HABARI YA SASAHIVI POLENI NA KAZI NAOMBENI USHAURI Mama mdogo wangu kabisa kaolewa kwenye ukoo flan( ) sasa kwenye huo ukoo huyo mwanaume aliye muoa mamdogo ,,ukoo wao kwao ni wengi ,baba ake wa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuna binti alitoka hapa kijijini kwetu, form IV alipata division II ya heshima kwenda PCB. Shopping ya kwenda shule ilibidi Baba Paroko amsaidie kwani wazee hawakuwa na uwezo. Amefika shule...
29 Reactions
118 Replies
8K Views
Wakuu, nina jamaa yangu Rafiki yangu wa karibu sana. Tumejuana since we have 5 years olds, we studied kindergarten together na Elementary together. Tulivofika secondary tukawa tumetengana kwa...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Wana jukwaa kma heading inavoonesha natafuta serious mwanamke mwenye hio age sifa asiwe na mume tu, na uwe na pesa sitaki vizinga me ni kijana wa 24yrs, nimechoka na mapenzi ya hawa mabinti bora...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimemzoea mtu yapata miaka kadhaa huwa anajionyesha yeye ni malaika alijiweka sehemu ya mimi kumuamini ila alitoka akampa kazi mtu mwingine nikatika kampuni ya rafiki yake Akaona isiwe tabu...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…