Poleni na misukosuko ya kusaka mkate wa kila siku hasa katika kipindi hiki ambacho asilimia kubwa ya rasilimali za nchi zinaelekea katika ujenzi wa miradi mikubwa!
Juzi niliona post bwana mdogo...
asalaam wana jamvi
nina jambo hua kila siku nawaza nakosa pa kuuliza, hivi ndugu zangu mashekhe hua mnaambiwa muoe kwa lazima mbona mna uthubutu sana kwenye hili jambo, au wanawake kwenu si kama...
Hizi alama za shuleni zimekuwa zikitafsiriwa ndivyo sivyo kuwa ndio mafanikio pekee kwenye maisha ya wanafunzi mashuleni na vyuoni kabla hawajaingia rsmi mtaani, Vuta picha wewe ulipokuwa shuleni...
Agnes binti mrembo alikutana na Paul kwenye school picnic Paul akiwa kiwa form six na ile picnic iliandaliwa kuwapa relaxation kabla ya mitihani. Agnes alikuwa form five. Waliendelea na...
Habari wanaJF,
Nimekutana na mkasa wa mwanadada aiyejikuta amekuwa msagaji kwasababu ya kufungiwa sana na wazazi wake.
Katika ukuaji wangu wazazi wangu hawautaka kabisa kuniona karibu na...
Nimepata dharura ya kikazi nje ya kwenda nje ya mkoa niliopo... Nimepanga kushukia lodge nikae huko kwa muda wa siku zote nne maana mkoa ninao enda sina ndugu, jamaa na marafiki wa kawaida ila...
Haya majukumu nilikueleza kuwa siyawezi? Tumetoka kula ugali na mlenda luxury dagaa kwa muda mrefu huku pango la nyumba ukinibembeleza nikope kwa shost utarudisha. Leo hii maisha yamebadilika...
1. Ukimuongelesha tu anawahi kukukasirikia tena anakimbilia kusema muachane
2. Kuwa na marafiki wengi wa kiume, ukiona kwako wanaletwa wageni wa kiume ujue unaibiwa peupe.
3. Wanapenda vitu vya...
Kuna kitu kinaitwa nguvu ya mvuto, lakini pia huenda mmeshawahi kusikia au kusoma kitabu kinachoitwa The Secret. Ni kitabu kizuri sana kinachoeleza kwa kirefu na kwa lugha nyepesi inayoeleweka...
Wanawake mnahusika kujibu kama nanyie mnatuonaga twavutia baada ya kutemwa yaani mnapotuacha tunazidiga kupendeza? au ni sisi tu vibeberu.
Tuelezee kidogo ulijisikaje, au unajisikiaje...
Mpendwa bila shaka umeamka salama.
Leo naomba nikukumbushe somo la Afya ya uzazi. Somo hili litafafanua faida na hasara au madhara yatokanayo na uvaaji wa nguo za ndani hasa Chupi.
Uvaaji wa...
Jamaa yangu alichukua demu wana kama miaka miwili sasa.
Kumbe demu kaungua na alikuwa tayari kwenye tiba ila alimficha jamaa yangu asijue.
Sasa wote wawili ni waathirika.
Lakini naamini yote ni...
Wana dharau sana hawajui kusalimia mtu. Na ukiona kakusalimia jiandae basi kuombwa msaada. Ni lazima ama kapotea anataka umwelekeze au kakwama nauli anataka umesaidie...
Mi huwa nawatazama kwa...
Dada zangu mambo??
Leo nipo idle tu sina campan hapa afu nataman sana niwe na mrembo wa kupiga nae story hapa kwangu, sasa daah yoyote atakae fill kuja tupige story mpaka mida flan ya mishale...
Kama hamtabadilika mtaishia kupata frustrations enyi wanaume ambao hamuendi na wakati. Maana kila siku mtakimbiwa na wake
Kazi za kupika, kufua nguo, kudeki nyumba/choo, kuosha watoto na...