Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini wakuu, Kuna dada mmoja mzuri sana shombeshombe tunakaa nae mtaa mmoja. Ameamia hivi karibuni, anaishi mwenyewe. Nimetokea sana kuvutiwa nae, angalau niwe karibu nae, tuwe tunabadilisha...
2 Reactions
78 Replies
7K Views
awali ya yote naomba mlio karibu na "gavana" mfikishieni ujumbe kuwa hiyo kanzidata(database) yake anayofiikiria kuijenga ambayo itatumika kuhifadhi taarifa za wanandoa haitakuja kusaidia kitu...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kila ukinywa bia 1 umekunywa tofali 2 za kujengea. Bia 1 kwa bei ya kawaida ni Tsh.2500/= na tofali 1 la inch 6 kwa maeneo mengi ya nchi ni bei isiyozidi Tsh.1300/=. Kama unakunywa wastani wa bia...
5 Reactions
64 Replies
7K Views
Nilishamwambia mapema haya mambo yanataka moyo wa chuma, ukiwa na moyo laini wa kike hayafai kabisa. Siku 7 tu na mwili umenywea. Hizi ni meseji ambazo zimemfanya jamaa mpaka leo asirudi kwa...
29 Reactions
417 Replies
39K Views
Wadau kama kichwa kinavojieleza msaada tutani twafwadhali nifanyeje kuepukana na dhahama hii.
0 Reactions
28 Replies
4K Views
*BARUA* Kwako *Alumni wa Bwiru boys* Salaams nyingi zikufikie popote ulipo zenye rehema na upendo juu yako. Natumai umzima wa afya na unaendelea vizuri na shughuli zako za kila siku za...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu zangu habari zenu, niko singida lakini natafuta soko la kuku mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, ikiwa uko na mtu ana uhitaji au wewe mwenyewe please DM me. Nitakuletea hadi mlangoni kwa idadi...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari za jioni wana MMU. .. Moja Kwa Moja ngoja niende kwenye mada aisee... Ama kweli jamani dunia hadaa Ulimwengu shujaa.... Aiseeee lazima upitie foolish stage then akili ikomae ndio ujue...
12 Reactions
95 Replies
13K Views
Wakuu, habarini kuna mrembo mmoja nitokea kuzoeana sana nae, nitumie mbinu gani niweze kumtoa huyu mrembo outing au maneno gani nimwambie ili atambue natakako nimualike lunch ,matusi hawaruhusiwi...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Wakuu ,naleta Uzi huu kwawadada wadada wa chuo ,wanaringa sana ,wanazingua sana ,wengi wapo kimaslahi zaidi Mwaka jana rafiki yangu amelizwa na demu wa chuo hivi hivi,wadada wa chuo ringeni sana...
2 Reactions
53 Replies
12K Views
Mke asipotoa (tendo), tayari kunakuwa na hisia, anatoka nje ya ndoa. Vivyo hivo kwa mume asipotoa. Je huu ndio muhimili pekee wa kudumisha ndoa? Je pasipo tendo hamna ndoa?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Toka nimemwoa ni mwaka wa tano huu. Kiuhalisia nimeshindwa nmeona bora niombe tu ushauri.wife ni mvivu sana.sana.sikatai ni mrembo kiuhalisia ukiangalia rangi,umbo n.k ipo pia. Lakini sasa. Ni...
21 Reactions
234 Replies
31K Views
Hili halina ubishi kabisa.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Binafsi condom sizikubali sana na Mood ya game huwa inakata kama demu ataning'ang'aniza nitumie hiyo kitu. Kiufupi me so mtumiaji wa hayo madude, Ni mimi tu ambae sizikubali au wwngine mpo??
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Niko bar flani hapa Morogoro mitaa Jirani na chuo cha LITI Jirani kuna demu hapa anakunywa pombe Kali(K-vant) chupa kubwa tena anajimiminia kama maji Mkononi ana sigara SM Mtoto yuko poa...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
hai wana jf najiuliza maswali nashindwa kujijibu naomba mnisaidie kuna dada mmaja ambaye alikaa miaka 4 bili kuwa kwenye mahusiano na siyo kwamba hatongozwi bali nikupata mwenzi wa maisha na siyo...
4 Reactions
53 Replies
48K Views
Wanajukwaa hapa kwa sasa nipo kwenye hali TETE sijui naanzia wapi namalizia wapi na sijui la kufanya. Nimetulia oficin nikapokea txt iliyoandikwa hivi "NAOMBA UKAE MBALI NA MKE WANGU KABLA...
10 Reactions
158 Replies
13K Views
Sorry wanaJamii forums kama ntakuwa nimeenda kinyume na utaratibu. naomba kuuliza ivi nihalali wanandoa au wapenzi kunyonyana sehem zao za siri? Kwaanayefahau naomba anijibu kwa mktadha wa kidin
1 Reactions
50 Replies
4K Views
Kama unataka yadumu na kumpendeza Mungu basi msifanye sex! Kama mnapendana msubiriane hadi muoane ili muwe na sex yenye baraka! Asanteni sana, na kama sauti haitoshi mseme niongeze.
21 Reactions
81 Replies
13K Views
Inasemekana mwanaume akienda kwa mganga, basi ameenda kwa maswala ya kikazi au biashara zake....kwa kifupi anaenda ili apate pesa... Lakini inasemekana MWANAMKE akienda ugangani, anaenda ili...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…