Dear Married (and Singles who love to learn)
0. Sometimes you just want affection, attention and everything between or that follows but not from your spouse.
1. This is not because your partner...
VUNJA AGANO NA MCHUMBA ULIYEACHANA NAYE.
Bwana YESU KRISTO atukuzwe ndugu yangu.
Jifunze kitu kwenye ujumbe huu.
Baadhi ya Vijana na mabinti hupata wachumba kisha baada ya muda wanaachana...
QUALITIES OF AN IDEAL HUSBAND
Many women spend their lives looking for a good husband, even parents won't sleep peaceful until they feel that their daughter is with a good man.
BE PLEASANT
No...
Habari za mda huu wana jf
Ipoo hivi kuna mdada mmoja hvi ni mzuri kinoma yaani mzuri haswa bwana churaa ndo usipimee.
Kidume nikajitoa ufahamu nikamfuta manzi kumuongelesha tuu kujibu tabu...
Kuna kipindi fulani nilisitisha maswala ya mapenzi kwa muda mrefu tu ili kupisha baadhi ya maswala yangu yaende sawia kama ninavyotaka.
Pia ilitokana na ushauri niliopewa na daktari wangu.
Kwa...
Hi JF.
Kuna jirani muda huu ngumi zinarindima nasikilizia dirishani jamaa alinyata kwenye chumba cha beki tatu.Bint kapiga kelele kimenuka[emoji2] [emoji41]
Mama mwenye nyumba kawaka hapalaliki...
Hello JF,
Ebana kuna jamaa angu kaja kuniomba ushauri,ana mpenzi wake ambae alitaka amuoe mwishoni mwa mwaka huu,huyu binti kamaliza chuo ifm juzi juzi tu hapa,Sasa jamaa anashangaa jana binti...
EVERY WOMAN SHOULD READ THIS.
1. Don't be in a hurry to move out
of your parents house.
It's easy to move out but very hard to come back if things goes wrong. Always be sure before leaving.
2...
Habari za kazi wakuu,
kwanza napenda kutoa uzi huu nikiwa na majonzi makubwa kweli, kwani mahusiano yangu yamevunjika kizembe sana japo kuna wakati najipa moyo kuwa ni ujasiri... Mpenzi wangu...
Wakuu kabla yayote niwasalimu kwanza, Habari zenu?
Baada yakusaliti vyama vyangu(CHAPUTA na CHAMATA) na kwa ushauri wenu wana JF, nimefaanikiwa kumrowa mtoto mkali na mpaka sasa tuna miezi miwili...
Wakuu hapa nilipo nina miaka 29.
kwa bahati mbaya bado nakaa kwa wazazi lakini ninajitegemea kwa mambo mengi isipokuwa malazi tu.
Nilikuwa nimepanga naishi mwenyewe lakini niliingiliwa na wezi...
Habari za Saa hizi wakuu? ifuatayo ni orodha ya tabia mbaya wanazozifanya wapendanao;-
1/Kuzungumzia udhaifu wa mpenzi wako kwa watu wengine ni Tabia mbaya...
2/Kushindwa kumaliza tofauti zenu...
Watu wa humu hamjui umuhimu wangu hasa hapa mmu mpka siku nikifa ndio mtaanza kujua halafu mtakuwa m mechelewa kwa sababu nitakuwa nimeshakufa. Halafu muanze kuandika rip zenu za unafiki...
Nawasalimu ndugu zangu,jamaa zangu,rafiki zangu washirika wenzangu na hata adui zangu kama wapo, najivunia kuwa mwana Jf kwa maana yakuniondoa kwenye upweke na kuniunganisha na jamii, kunipatia...
Jaman sijui ni wivu wangu tu au sielewi
Iko hivi ninaishi na mme wangu ni muda Sasa....
Ijumaa last week nilisafir kuja nyumban kwetu mama anaumwa ambapo ni mkoa mwingine na ninapoishi na mme...
Habari wana JamiiForums
Ni ukweli usiopingika kuwa toka nijiunge na jamii forum nimekuwa siyo mchangiaji mkubwa sana kwenye masuala mazima yanayohusu mahusiano hasa kwenye upande wetu wa akina...
Nimfanye nini mke wangu huyu?
Naombeni ushauri kwani nimegunduamke wangu amepata mchepuko kiasi kwamba ameanza kuwa na katabia ka udanganyifu.
Nimemchunguza sana ktk cmu yke nikakuta msg...