Watu wa jamii forums hamjui umuhimu wangu

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
Watu wa humu hamjui umuhimu wangu hasa hapa mmu mpka siku nikifa ndio mtaanza kujua halafu mtakuwa m mechelewa kwa sababu nitakuwa nimeshakufa. Halafu muanze kuandika rip zenu za unafiki nitajifanya kama sisikii au sioni huku nawa angalia tu mna vyo ji nafikisha
 
umuhimu wa fake id au?.........
tehteh[emoji28] labda wanatamani ufe[emoji28] kwa maana hauna umuhimu wowote,,,,,
ukiwa fossil wataona umuhimu wako,,,,
 
Unakwama wapi?[emoji1]
 
We utakuwa marehemu mbea! Kwamba umekufa then uone post zetu!?[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Kufa basi tuone kama ni kweli
umuhimu wa fake id au?.........
tehteh[emoji28] labda wanatamani ufe[emoji28] kwa maana hauna umuhimu wowote,,,,,
ukiwa fossil wataona umuhimu wako,,,,
Ukifa useme tufute id yako ili usitujazie serve zetu.
UNGEKUFA KWANZA MKUU ILI TUUONE HUO UMUHIMU
Wakiujua umuhimu wako inakuongezea nini
Hizi comment zinaonesha namna gani watu wamevurugwa na maisha, au ubinafsi watanzania walio nao
 
Watu wa humu hamjui umuhimu wangu hasa hapa mmu mpka siku nikifa ndio mtaanza kujua halafu mtakuwa m mechelewa kwa sababu nitakuwa nimeshakufa. Halafu muanze kuandika rip zenu za unafiki nitajifanya kama sisikii au sioni huku nawa angalia tu mna vyo ji nafikisha
Umevuta ya sh. ngap mkuu mbona inakuendesha hivyo.
 
Back
Top Bottom