Hii nayo ni tabia mbaya...

Siri ya sifuri

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,005
1,489
Habari za Saa hizi wakuu? ifuatayo ni orodha ya tabia mbaya wanazozifanya wapendanao;-
1/Kuzungumzia udhaifu wa mpenzi wako kwa watu wengine ni Tabia mbaya...
2/Kushindwa kumaliza tofauti zenu nyinyi wenyewe mpaka mshirikishe watu wengine hii nayo ni Tabia mbaya...
3/Kumlazimisha mwenza wako akufanyie jambo asilolipenda ili tu akuridhishe wewe hii nayo ni tabia mbaya...
4/Kuweka mtandaoni mambo ya faragha mliyoyafanya na member mwenzio bila ya ushauri wake hii nayo ni tabia mbaya...
5/Kumfanyia fujo au kumtolea maneno machafu MTU uliyemuomba penzi akakukatalia hii nayo ni tabia

mbaya...
6/Kumtumia mtu anaetaka kuishi na wewe haliyakua hupo tayari kuishinae hii nayo ni tabia mbaya...
7/Kumlazimisha mtu asiekupenda, akupende hii nayo ni tabia mbaya...
8/Kutangaza kuwa Fulani ni mpenzi wako wakati si kweli hii nayo ni tabia mbaya...
9/Kumfananisha mwenza wako na wazazi wako hii nayo ni tabia mbia...
10/Kumnyima mwenza wako penzi pasi na sababu ya maana hii nayo ni tabia mbaya...
Karibu wakuu, mwenye nalo na aongeze ili kuwekana sawa.
 
Kwani wewe ni mwanamke? Umeandika kama mwana mama aliyepewa mimba na kuachwa, akajifungua na sasa amekuwa mlokole na ni single mama.
 
Kwa wenye akili mtambuka watagundua kuwa kiini cha uzi huu ni hapo namba 4, hayo mengine ni nyongeza.
 
Habari za Saa hizi wakuu? ifuatayo ni orodha ya tabia mbaya wanazozifanya wapendanao;-
1/Kuzungumzia udhaifu wa mpenzi wako kwa watu wengine ni Tabia mbaya...
2/Kushindwa kumaliza tofauti zenu nyinyi wenyewe mpaka mshirikishe watu wengine hii nayo ni Tabia mbaya...
3/Kumlazimisha mwenza wako akufanyie jambo asilolipenda ili tu akuridhishe wewe hii nayo ni tabia mbaya...
4/Kuweka mtandaoni mambo ya faragha mliyoyafanya na member mwenzio bila ya ushauri wake hii nayo ni tabia mbaya...
5/Kumfanyia fujo au kumtolea maneno machafu MTU uliyemuomba penzi akakukatalia hii nayo ni tabia

mbaya...
6/Kumtumia mtu anaetaka kuishi na wewe haliyakua hupo tayari kuishinae hii nayo ni tabia mbaya...
7/Kumlazimisha mtu asiekupenda, akupende hii nayo ni tabia mbaya...
8/Kutangaza kuwa Fulani ni mpenzi wako wakati si kweli hii nayo ni tabia mbaya...
9/Kumfananisha mwenza wako na wazazi wako hii nayo ni tabia mbia...
10/Kumnyima mwenza wako penzi pasi na sababu ya maana hii nayo ni tabia mbaya...
Karibu wakuu, mwenye nalo na aongeze ili kuwekana sawa.

Ukishao ukaishi naye week moja baada ya honey moon angalia hili andiko lako then utagundua jinsi gani wewe ni mjinga!
 
Yawezekana Mimi ni mjinga kwa hilo nawe ni mjinga kwa jingine, kila MTU ni mjinga kwa asilolijua.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom