Habari wanaJF
Mimi kama baharia mzoefu nasikitika sana nimeshindwa kuelewa hili swala kwa upana.. kumejitokeza wimbi la wadada huko Instagram wakidai kutafuta wenza, wachumba wa kuishi nao wengi...
Wakuu habari wakati mwingine mambo yanaweza kutokea mpaka usipate jibu. Ni kwamba nipo katika mahusiano na single mother na ana mtoto mkubwa wa kike miaka 18+ na mtoto anajua mahusiano yetu...
Jamani Huyu kiumbe ananichanganya kweli, nilichapa kweli na ni kavu kavu ila sasa ni hivi,
Ana mwezi wa pili huu Siku zake hajaziona ameshapima Mimba zaidi ya mara 2 na zile UPT zao mbele yangu...
Wakuu mie sijui wapi nafeli mwenzenu yaani ubaharia unanishinda kabsa.
Nipo maeneo fulani ya Morogoro ndio msimu wa mavuno baa zote zimejaa malaya tu yaan
wadau wanajipigia tu mbuye hizi ila...
RAFIKI
Kama umezoea wakubwa wenzio basi hebu usijaribu kutongoza hawa mabinti wa chini ya miaka 20
Nilimtokea mmoja miezi kadhaa ilopita na mambo yakawa hivi
1. Kwanza amekubali baada ya wiki 2...
Huwanajiuliza ni kwanini mara nyingi nimeona nikiingia na wanaume chumbani kufanya tendo lazima wajisaidie haja kubwa, sio kwangu tu wanawake wengi wanakiri hivo
Matata K.
If you love her, please tell her face to face
If you love her, don't make her cry
If you love her, assure (you can even lie) that your love is gonna last forever... (Feels better)
If...
Aslaam Aleikyum wakubwa..Leo sitaandika Ngareroo slangs maana naomba maombi yenu wakuu.
Siku moja nilienda na Chaliangu mgahawani hapa hapa Ngarenaro kupata supu,ilikua kama mida ya saa3:30 hivi...
*wadada mnaochukuliwa wapenzi wenu fanya yafuatayo utakuja kunishukuru*
*Nunua kifurushi kwenye simu ya mpenzi wako kisha mpigie simu uyo mchepuke ujitanbulishe kama dada wa mwenye cm kisha...
Habari za Jumapili wakuu.
Niende kwenye mada. Kama kichwa cha thread kinavyosema, ni kweli yule bint ameolewa. Let me take you to the story behind. Ni kisa kinachonihusu mimi mwenyewe. Mimi ni...
wanawake wengi wanatabia hii, haijalishi yupo katika ndoa/strong relation mkifuatwa na wahitaj wengine huwa mnawapa nafasi, na kabla hamjanasika hua hamsemi nachojiuliza hua hamjui madhara ya hii...
Habari za jioni wakuu, naamini mu wazima wale ambao hawapo vizuri nawaombea Mungu awape shifaa
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimechunguza wanawake wengi wenye sura nzuri wana sauti mbaya...
Wadau;
Hii nimeipata mahali kwa hisani ya Mwanasaikolojia Chris Mauki. Nini maoni au uzoefu kwa wale waliopitia au wenye ndugu waliopitia hii hali?
Madhara ya kuwapeleka watoto shule za bweni...
Wakati wa kurudi rafiki yangu mmoja aliniambia kuna kitu inabidi tukitumie....nikamuuliza nini akanionyesha bangi mguuni kwake iliyokuwa kwenye soksi. Alivyonionyesha nilishtuka sana lakini...
Wanawake walio wengi hawana upendo na ndugu wa waume zao.
Ilikua siku moja hivi nimekaa na mzee mmoja mjeshi mstaafu akawa ananiambia tabia za wanawake kutowapenda ndugu wa mume. Akaanza kwa...
Habarini wana jamvi,
Wiki hii kuna ticha mmoja huko Shinyanga kaamua kuachana na UBAHARIA, na kumpeleka manzi wake wa siku nyingi kumtambulisha kwao.
Jamaa akajua akifika home hawezi kula mzigo...
Habari ..wapendwa Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 nipo Dodoma nimeajiriwa, Na itaji mwanamke chini ya miaka 30 sitajali Ana watoto au mtoto awe anapenda utani ,sichagui kabila au rangi...
Nianze kwa kutanguliza salamu
Nina imani kubwa kuwa umesikia kihusu maswala yahusuyo nyota ya binadamu mara nyingi.Swali la msingi apa ni kuwa kuna uhalisia wowote katika hili.
Imani yangu ni...
Vipi wapenzi! Kuzama chumvini au via vya uzazi limekuwa jambo la kawaida kwa wapenzi wengi na usipofanya hivyo Unaonekana mshamba .Sasa kujua kwa watu kabisa Je kunyonyana na kurambana k*m na...