Je inawezekana ana Tatizo lolote

Je inawezekana ana Tatizo lolote

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,204
Jamani Huyu kiumbe ananichanganya kweli, nilichapa kweli na ni kavu kavu ila sasa ni hivi,

Ana mwezi wa pili huu Siku zake hajaziona ameshapima Mimba zaidi ya mara 2 na zile UPT zao mbele yangu na moja hospitalini lakini hakuna kilichoonekana,

Ila sasa ana dalili zote za mtu mwenye Mimba,
Anapata sana kichefu chefu na kuna wakati anatapika, Anakula kula sana limao,msumbufu msumbufu sana kwa sasa na Mwili wake unaonyesha kabisa kwamba kuna mabadiliko,

Lakini Akipima hamna kitu before alikuwa Normal tu.


Je kuna Tatizo.
 
Sababu zinaweza kuwa nyingi, zikiwemo za Kisaikolojia. Jaribu kuongea nae vizuri au umpeleke kwa wataalamu wa Saikolojia.

Lakini kuhakikisha kama ana mimba au hana, mpeleke Hospital wakampime wingi wa Hormone inajulikana kama beta HCG na nyinginezo kadri Daktari husika atakavyoona inafaa.

Inaweza kukupa mwanga.
 
Halafu Mkuu, huyu ni tofauti na yule mtoto wa diwani? Haha...
 
Huyo ana hofu ya kuwa ana mimba ndio maana anapata hizo dalili.
Pili kuvusha Siku kama alitumia dozi ya UTI au typhoid nk ni kawaida kabisa.
Kipimo cha mimba huwa hakidanganyi kwa asilimia 90.
Kama Mara mbili kimeonesha -ve huyo hana mimba.
 
Mtaalam sana wakula pesa za watu subiri uliwe kachanganya wanaume sana na katoa mimba kibao mwezi mmoja kabla ya wewe kumpa peku peku alitoa mimba
 
Back
Top Bottom