Nimeiba

Nimeiba

plan z

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
1,395
Reaction score
1,439
*wadada mnaochukuliwa wapenzi wenu fanya yafuatayo utakuja kunishukuru*

*Nunua kifurushi kwenye simu ya mpenzi wako kisha mpigie simu uyo mchepuke ujitanbulishe kama dada wa mwenye cm kisha mwambie;*

*"Nashkuru sana kwa kumfanya kaka yangu atambue kuwa kuishi na UKIMWI sio mwisho wa maisha sabab alikuwa anadhani hatapata mpenz kwa ugonjwa alionao"*

*hapo kazi umemaliza kaa kwenye sofa kunja nne*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hivi NDOM zinatumika kweli siku hizi...UKIMWI UPO,,, na wahusika tumejisahau kabisa.......dawa bado haijapatikana mpaka leo.......na wasichana wanazidi kuwa wengi, wazuri, bwerere na watamuuuu.....
 
hivi NDOM zinatumika kweli siku hizi...UKIMWI UPO,,, na wahusika tumejisahau kabisa.......dawa bado haijapatikana mpaka leo.......na wasichana wanazidi kuwa wengi, wazuri, bwerere na watamuuuu.....
😳
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom