Hivi wanaume wenzangu huwa mnapataje ujasiri wa kula machangudoa?

Statesmann

JF-Expert Member
Jul 16, 2019
2,344
3,460
Wakuu mie sijui wapi nafeli mwenzenu yaani ubaharia unanishinda kabsa.

Nipo maeneo fulani ya Morogoro ndio msimu wa mavuno baa zote zimejaa malaya tu yaan

wadau wanajipigia tu mbuye hizi ila mie nina kinyaa sana nikiona demu malaya hamu inaisha kabsa kwanza nakuwa nahisi sio mzima ila naonawadau wenzangu hata hawajali kabsa

Huwa naona bora ajiuze kimya kimya nisijue ndio naweza piga ila hawa wa waziwazi nawaogopa sana sijui kwanini
 
Mkuu huna tofauti kabisa na mimi!! mimi siwezi kabisa kununua malaya naonaga nitongoze nisijue kama anauza Au hauzi, ila hawa wa kununua nilishakataaga kabisa.huwa naona sio wazima alafu hawako romantic zaidi ya kula hela zako tu.
Kuna watu wana roho za kijasiri aisee,,,siku moja katika mizunguko ya kistarehe kuna jamaa yangu alinipa offer anichukulie Mrax na room kabisa ila nilichomoa hakuamini,,na hapo kichwa ilikuwa ishaiva Monde.
 
Wakuu mie sijui wapi nafeli mwenzenu yaani ubaharia unanishinda kabsa.

Nipo maeneo fulani ya Morogoro ndio msimu wa mavuno baa zote zimejaa malaya tu yaan

wadau wanajipigia tu mbuye hizi ila mie nina kinyaa sana nikiona demu malaya hamu inaisha kabsa kwanza nakuwa nahisi sio mzima ila naonawadau wenzangu hata hawajali kabsa

Huwa naona bora ajiuze kimya kimya nisijue ndio naweza piga ila hawa wa waziwazi nawaogopa sana sijui kwanini
ANgalia ndugu yani hizo ni dalili zakuwa shoga.

Wanaume wenzako rijiali tunaweza kupiga hata taahira.
SEMA TU tunaogopa jamii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom