wanawake wengi wanatabia hii, haijalishi yupo katika ndoa/strong relation mkifuatwa na wahitaj wengine huwa mnawapa nafasi, na kabla hamjanasika hua hamsemi nachojiuliza hua hamjui madhara ya hii...
Habari za jioni wakuu, naamini mu wazima wale ambao hawapo vizuri nawaombea Mungu awape shifaa
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimechunguza wanawake wengi wenye sura nzuri wana sauti mbaya...
Wadau;
Hii nimeipata mahali kwa hisani ya Mwanasaikolojia Chris Mauki. Nini maoni au uzoefu kwa wale waliopitia au wenye ndugu waliopitia hii hali?
Madhara ya kuwapeleka watoto shule za bweni...
Wakati wa kurudi rafiki yangu mmoja aliniambia kuna kitu inabidi tukitumie....nikamuuliza nini akanionyesha bangi mguuni kwake iliyokuwa kwenye soksi. Alivyonionyesha nilishtuka sana lakini...
Wanawake walio wengi hawana upendo na ndugu wa waume zao.
Ilikua siku moja hivi nimekaa na mzee mmoja mjeshi mstaafu akawa ananiambia tabia za wanawake kutowapenda ndugu wa mume. Akaanza kwa...
Habarini wana jamvi,
Wiki hii kuna ticha mmoja huko Shinyanga kaamua kuachana na UBAHARIA, na kumpeleka manzi wake wa siku nyingi kumtambulisha kwao.
Jamaa akajua akifika home hawezi kula mzigo...
Habari ..wapendwa Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 nipo Dodoma nimeajiriwa, Na itaji mwanamke chini ya miaka 30 sitajali Ana watoto au mtoto awe anapenda utani ,sichagui kabila au rangi...
Nianze kwa kutanguliza salamu
Nina imani kubwa kuwa umesikia kihusu maswala yahusuyo nyota ya binadamu mara nyingi.Swali la msingi apa ni kuwa kuna uhalisia wowote katika hili.
Imani yangu ni...
Vipi wapenzi! Kuzama chumvini au via vya uzazi limekuwa jambo la kawaida kwa wapenzi wengi na usipofanya hivyo Unaonekana mshamba .Sasa kujua kwa watu kabisa Je kunyonyana na kurambana k*m na...
Hili ni la kushangaza sana
Two couples in Busia County have left locals of Siroba and Namuchula villages in Matayos and Butula Constituencies in utter shock after they swapped partners. The two...
Habari zenu wadau wa jamvi hili?Hopefully mko yechu. Kuna mamiloo bhana tulikutana Instargram tukayajenga mapendo Catholic hakuruka swagiree za mjuba akajaa.
Sasa Leo nimemtumia Elfu30 ya nauli...
Mie buana nina demu wa kihehe, huyu demu namuelewa sana. Ni manzi fulani hivi ukimuona unasema kabisa ama kweli Mungu fundi. Mtoto mrembo sana, ila mie nina mpango wa kumuweka ndani. Ila kabla ya...
Leo nmepokea mkwanja flani nlikuwa nausubiria kama mwezi hiv.mida flani nikaona text kwenye simu. Kucheck mzigo wote umeingizwa kwenye account yangu. Nikasema Siku imekuwa Mashallah.
Basi mida...
Mambo vp habari za weekend?
Bana ipo hivi nina Mpenzi wangu wote we are employed sasa Kwa kazi yangu Mimi ni IT Consultant Kwenye kampuni moja hivi mara nyingi nakuwa very busy.. yaani imagine...
Salamu waungwana
Mapenzi na mapendo yadumu.
Nisichukue muda wako mwingi, ngoja nikwambie moja ya sababu kwanini haupati mume au mke japo umeweka jitihada nyingi katika hili.
Hivi hujawahi...
Wapendwa habari zenu
Nipo bored sana na maisha ya kuoa na kuishi na mke ,so nahitaji mwanamke ambaye atanizalia mtoto, mwanamke awe anayejitegema namanisha anafanya kazi au biashara, kifupi...
Katika dunia tunayoishi kuna watu wamejaliwa kuwa matajiri na wengine ni masikini. Wengine utajiri was kurithi, wengine wamehangaika wenyewe na baadhi wanajua walivyoiba! Wapo mameneja wengine...
Naandika kwa majonzi sana.toka jana usiku sijaweza kulala kutokana na yale yanayoendelea hapa home.
Mimi nina miaka 42 nliwahi kuwa na kazi lakini toka mwaka 2016 sipo kazini sababu nlisingiziwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.