Ma mbwa
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 1,404
- 3,507
Wakuu habari wakati mwingine mambo yanaweza kutokea mpaka usipate jibu. Ni kwamba nipo katika mahusiano na single mother na ana mtoto mkubwa wa kike miaka 18+ na mtoto anajua mahusiano yetu.
Japo mahusiano yetu ni ya siri sana na huyu mama ndiye aliyemwambia mwanaye japo nikimuuliza mama kama kuna mtu amemwambia kuhusu mahusiano yetu anakataa kabisa.Cha kushangaza huyu mtoto ameanza kunitumia sms na kuniambia ananipenda na kweli nimejiridhisha kwani nilimtega tukutane sehemu ili nione kama atakuja
Na kweli alikuja ila hatukufanya chochte kile.Huyu binti sikuwahi kumfikiria hata siku moja ila toka aanze kuniambia haya maswala kwa sasa hivi ameteka sana akili yangu na namuwaza sana japo najaribu kujizuia sana
Kwani nahisi kuwa inaweza kumletea matatizo kama radhi kwakwe.
Ushauri wenu wadau katika hili kumbukeni sisi wanaume hiki kichwa cha chini kikianza kufyata inafyatuka kweli kweli.