Naombeni ushauri wenu wanajamvi

Naombeni ushauri wenu wanajamvi

Redpanther

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
3,040
Reaction score
4,291
Mie buana nina demu wa kihehe, huyu demu namuelewa sana. Ni manzi fulani hivi ukimuona unasema kabisa ama kweli Mungu fundi. Mtoto mrembo sana, ila mie nina mpango wa kumuweka ndani. Ila kabla ya kumuweka ndani hebu nisaidieni kuwajua wahehe kiundani. Siwajui wahehe, hasa wanawake wa kihehe tabia zao hasa zikoje.
Naombeni mnipatie sifa zao, kabla sijazama sana. Ujue moyo ukizama sana kuna upofu unaingiaga hapo. Sasa kabla ya kuzama sana, nataka niwajue hawa watu wakoje. Mila zao, ukitaka kuoa kwenye hilo kabila na Pia Maisha yao kiujumla yanakuwaga aje aje hivi.
Natanguliza shukrani[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Mpaka karne hii unaangalia kabila kama kigezo!!!
Kama umempenda na unaona anakufaa huna haja ya kupoteza muda muweke ndani.
Siku hizi tabia ni ya mtu na sio kabila, dini wala anakotokea.
Angalia husije kuangukia kusikokuwa na maana ukaishia kujuta.
 
Swali la kizushi ila lenye maana :

Unajua Aina ya mwanamke unaemtaka kuoa?
Kama hujui mpka leo unataka mkeo awe na sifa Zipi basi muoe huyohuyo tu.. Wahehe wako poa sana.. Kama Wazungu.
 
Muhehe wa mkoa upi maana sasa ivi tanzania haina mipaka kulingana na makabilaa... Unaeza kuta mchaga kazaliwa mwanza akawa na tabia za kisukuma... Sasa wewe ulikua unataka sifa za Muhehe wa mkoa gani
 
Kama unaoa mtu- muoe huyo ila kama unaoa kabila.. Basi kabila bora ni lako !!
 
Niko kwenye mkoa wao,kuachaika ni suala la kugusa,huku watoto wengi wanaishi tofauti na wazazi wao kwa sababu walishaachana!
 
Wahehe wana nao wanajinyonga haraka kama wenzetu hawa
Swali la kizushi ila lenye maana :

Unajua Aina ya mwanamke unaemtaka kuoa?
Kama hujui mpka leo unataka mkeo awe na sifa Zipi basi muoe huyohuyo tu.. Wahehe wako poa sana.. Kama Wazungu.
 
Mafinga mzee mwenzangu
Muhehe wa mkoa upi maana sasa ivi tanzania haina mipaka kulingana na makabilaa... Unaeza kuta mchaga kazaliwa mwanza akawa na tabia za kisukuma... Sasa wewe ulikua unataka sifa za Muhehe wa mkoa gani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom