Nahitaji mdada wa kunizalia mtoto

Nahitaji mdada wa kunizalia mtoto

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
1,481
Reaction score
1,356
Wapendwa habari zenu
Nipo bored sana na maisha ya kuoa na kuishi na mke ,so nahitaji mwanamke ambaye atanizalia mtoto, mwanamke awe anayejitegema namanisha anafanya kazi au biashara, kifupi anayejishuhulisha, zaidi mwenye upendo na si aliye olewa au yupo kwenye mahusiano .

Ntapendelea zaidi mwanamke ambaye hajawahi kua na mtoto au ana mtoto lakini anatamani mwingine.

Nitajitolea kwa hali na mali kumlea mtoto na kumpa malezi bora na upendo kama baba. Zingatio liwe hili kwamba utakaponizalia haimanishi kwamba tutafunga ndoa, i dont believe in marriages. Mtoto kwa badae ntabaki naye ila sio kwamba sintokuruhusu umuone, tutapanga utaratibu mzuri tu wa kuonana naye.

PM iko wazi kwa mwanamke yeyoye atakayeridhia ombi langu.
 
Kwanini tumefikia hapa....
Ni kweri wanawawake wote hawa umemkosa wakwenda nae sawa
Au maneno ya humu jf yanakukatisha tama....!?
Waza tena mkuu
 
Wapendwa habari zenu
Nipo bored sana na maisha ya kuoa na kuishi na mke ,so nahitaji mwanamke ambaye atanizalia mtoto, mwanamke awe anayejitegema namanisha anafanya kazi au biashara, kifupi anayejishuhulisha, zaidi mwenye upendo na si aliye olewa au yupo kwenye mahusiano .

Ntapendelea zaidi mwanamke ambaye hajawahi kua na mtoto au ana mtoto lakini anatamani mwingine.

Nitajitolea kwa hali na mali kumlea mtoto na kumpa malezi bora na upendo kama baba. Zingatio liwe hili kwamba utakaponizalia haimanishi kwamba tutafunga ndoa, i dont believe in marriages. Mtoto kwa badae ntabaki naye ila sio kwamba sintokuruhusu umuone, tutapanga utaratibu mzuri tu wa kuonana naye.

PM iko wazi kwa mwanamke yeyoye atakayeridhia ombi langu.
Rubbish taka taka.....angekua dada ako au mama ako ungependekeza azalishwe tu....shit
 
weka dau watu wakusome

Mkuu mbona umepost thread moja kwa id mbili tofaut?

Au umeona kule hawapo siriaz nn?
 
Naunga mkono hoja!! Ndoa ni mateso ya hiari, ila ukipata yule Mungu aliyekuandalia ni raha, ila ni wachache
 
Tumefikia pabaya sana,vijana hawako interested na marriage tena,wapi tumeharibu??
 
Nimewahi kushuhudia mke wa rafiki yangu ambae wamefunga ndoa hata miezi haijapita akipigwa borooo kwenye gali na msera flani hivi ,yaani niliumia sana
 
Ohoo noma sana aisee,vp ulimtonya huyo rafiki yako kuhusu tabia za mkewe?
 
Nilishampa mchongo yeye alikuwa aamini na ilipelekea Mimi kuchukiwa na wote wawili ,ila ilikuja 40 ndio aliposhuhudia anagongwa live.
 
Back
Top Bottom