Ngareroo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2019
- 2,164
- 2,610
Habari zenu wadau wa jamvi hili?Hopefully mko yechu. Kuna mamiloo bhana tulikutana Instargram tukayajenga mapendo Catholic hakuruka swagiree za mjuba akajaa.
Sasa Leo nimemtumia Elfu30 ya nauli kutoka Dasilade/Dar Es Salaam atimbe uku Gachuland kwa Waenduru wa Ngarenaro Republic..Japo unajua mapenzi na nime'enjoy kinyama,ila sema nini.
Mwanaisha nimekutumia 30,000 nauli utoke Darisalade/Dar uje Arusha na umetimba ndani ya masaa bee(Mawili)tu sijapendezwa na hiyo speed.Yako ya super sonic tapeli mkubwa wewe!
@NgarenaroBoy.