Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Watu wengi walio lonely ambao hawana kazi ndo huwa wanaangaika sana na mapenzi na ikitokea wameachana huwa anaumia sana maana mara nyingi un anakuta unamuwaza Ila kama una mambo yako uko busy...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Ni kama mwezi nimeachana na mchumba wangu sasa moyoni natamani sana nimjue aliyechukua nafasi yangu yani mwanaume mpya wa x girlfriend wangu.
1 Reactions
10 Replies
1K Views
"Mzee wa kasumba" Ninakabiliwa na matatizo makubwa hasa katika upande wa kusaka ngenya / papuchi / vipochi manyoya. Siku kadhaa zilizopita nilileta UZI wa kudai kuwa Nina upepo wa kuachwa achwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kila mzazi hufurahia mtoto anapofikia umri wa kutambaa na hatimaye kusimama na kutembea. Mtoto anakuwa amepata uhuru mpya unaomuwezesha kutoka sehemu moja kwenda nyingine mwenyewe. Pamoja na...
5 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu wanaJF, ndugu yenu nashindwa kuelewa nakwama wapi kwani kila nikipata girlfriend hauishi mwaka tushaachana. Kupata mwingine ndio mtihani kabisa. Pia licha ya kuwa na hao girlfriends...
3 Reactions
47 Replies
5K Views
Habari zenu wana jf ... Ana hitaji kuwa barmed kutokana na ugumu wa maisha anao pitia. Anaomba ushauri wenu na ni njia zipi atumie anapokuwa muhudumu kuepuka ku laghaiwa ..Napia anaomba kujua...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Lugha ya picha
5 Reactions
70 Replies
7K Views
Habari wanaJf. Ndugu zangu wana Jf na kwa vijana wenzangu ambao hamjaoa au mnaelekea kufunga pingu za maisha au bado mpo kwenye mchakato wa kutafuta mpenzi/ mchumba. Usijaribu kuanzisha uhusiano...
3 Reactions
51 Replies
6K Views
Kwa kweli kuanzia sasa sitaki niwe na mahusiano na binti aliye chini ya miaka 25, nimekuwa na mabinti wa umri tajwa. Licha ya kuwa na maumbile ya kuvutia na miili iliyostable, kumbe kwenye sita...
18 Reactions
297 Replies
42K Views
TUMPONGEZE MAJAY KWA KUMSUBIRI LULU AKUE STAA wa Bongo Movie, Elizabeth Michael 'Lulu' na CEO wa E Media, inayomiliki redio EFM na runinga ya ETV, Francis Ciza 'Majay', wameshatangaza ndoa...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Wasalaam ndugu, Nahitaji kujua kutoka kwa wale ambao mmeingia katika ndoa lakini mmekulia katika familia ambazo wazazi wenu hawakuwa na maelewano mazuri au walitengana kwa hiyo ikakulazimisha...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
1. Hujifanya yupo tayari kukfanyia lolote hata liwe nje ya uwezo. Hapo b4 hujampa mwili wako. 2. Mwanzoni mkiwa mnawasiliana anajidai hapend ngono na hana haraka nayo. 3. Bingwa wa kukutambulisha...
1 Reactions
45 Replies
5K Views
Habari naombeni ushauri!!nimekuwa kwenye mahusiano na binti almost miaka minne japo ni dini tofauti yeye muislamu,mimi mkristo!!Tumefanya vitu vingi sana pamoja na kushirikiana katika mengi tu...
1 Reactions
65 Replies
8K Views
Habarini jf members,, kama heading inavyosema natafuta girl friend mwenye age 18-21,, na awe ready kunipa mchezo pindi ninapo hitaji,, awe anaishi dar es salaam
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kila siku mahusiano mapya yanaibuka si mashuleni, ofisini na hata mtaani. Lakini pia kila siku mahusiano haya ya kimapenzi yanavunjika Utasikia Mwajuma alikuwa Ali akaachana naye kabla ya kwenda...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Mahusiano mazuri uimarisha uchapaji kazi.Kama mnaelewana vizuri na mpezi wako,mume au mke wako ufanisi wa ufanyaji kazi au utafutaji wa pesa unakuwa ni mkubwa.Na hii nilishashuhudia,unajikuta...
9 Reactions
44 Replies
3K Views
Jumamosi & jumapili unazitumiaje ukiwa na mpenzi wako?Ni vizuri kwa watu wanaopendana iwe ni wapenzi, mume,mke au familia kutumia siku za mapumziko (wkend) au siku yoyote itakayowakutanisha kwa...
2 Reactions
63 Replies
5K Views
Sijui hii adha nakutana nayo mimi mwenyewe au kuna watu wengine wanakabiliana na hii hali. Niliacha kutumia facebook kwa sababu ya usumbufu wa mashoga, tena vijana wadogo kabisa na wengine watu...
3 Reactions
24 Replies
7K Views
Wasalaamu!!! Weekend ndio hiyo imepamba moto Sasa tuambiane majina ya michepuko tuliyoyasave kwenye simu zetu. Nikianza na mimi ninao wawili wa kwanza nimesave crdb mkopo uyu hata usipopokea simu...
5 Reactions
98 Replies
10K Views
Mwanadada ambae una ndoto za kuolewa na mtu mwenye sifa zote za mwanaume....Nakushauri waamini hawa askari! Ni shupavu, wanajitambua, hawasusi ovyo, pia wanaaminika na serikali kwa 100% sasa...
1 Reactions
29 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…