Hivi nakwama wapi ndugu zangu!

Hivi nakwama wapi ndugu zangu!

Tommy 911

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2019
Posts
643
Reaction score
576
Ndugu zangu wanaJF, ndugu yenu nashindwa kuelewa nakwama wapi kwani kila nikipata girlfriend hauishi mwaka tushaachana. Kupata mwingine ndio mtihani kabisa. Pia licha ya kuwa na hao girlfriends wote sijawah kugegeda.

Nashindwa kuelewa nakwama wapi
 
Usikate tamaa boss..Kuna demu yeye nae hakuwahi dumu kwenye Mahusiano ila Na mimi tulidumu miaka 3 mpaka ndoa mpaka akawa anashangaa...!! Ishu inaweza kuwa wewe Upo very harsh na hao mademu hawawezi kukuchukulia poa... Jitahdi uwe calm
 
Ndugu zangu wana jf ,, ndugu yenu nashindwa kuelewa na kwama wp kwan kila nikipata girl friend hauishi mwaka tushaachana ,, kupata mwingine ndo mtihani kabisaaa,,, pia licha ya kuwa na hao girlfriends wote sjawah ku do ,, nashindwa kuelewa nakwama wp
May be your in a spectrum
( autism ) .Over reaction or extremely insecure person
 
Ndugu zangu wana jf ,, ndugu yenu nashindwa kuelewa na kwama wp kwan kila nikipata girl friend hauishi mwaka tushaachana ,, kupata mwingine ndo mtihani kabisaaa,,, pia licha ya kuwa na hao girlfriends wote sjawah ku do ,, nashindwa kuelewa nakwama wp
Unaweza kuwa Kama
 
Attachments

  • 0AE02CC3-E295-4814-8767-865261BAC4B6.jpeg
    0AE02CC3-E295-4814-8767-865261BAC4B6.jpeg
    67 KB · Views: 19
  • 0BE4CECD-DB23-4B2A-9AE3-3967E2150CA2.jpeg
    0BE4CECD-DB23-4B2A-9AE3-3967E2150CA2.jpeg
    14.4 KB · Views: 24
  • B2D7A79C-9F4F-4447-A062-0D9240F91A8F.png
    B2D7A79C-9F4F-4447-A062-0D9240F91A8F.png
    116.1 KB · Views: 24
Sasa unawaitaje girlfriends kama hujawahi ku-do nao? Sema tuu ukweli huwa unapigwa chini kwenye harakati za kutongoza na wala hujawahi kubaliwa.

Unforgetable
Hawanipigi chini mkuu yan with in mahusiano ndo wanakataa ku do mwingne alisema et mpaka ndoa
 
Usikate tamaa boss..Kuna demu yeye nae hakuwahi dumu kwenye Mahusiano ila Na mimi tulidumu miaka 3 mpaka ndoa mpaka akawa anashangaa...!! Ishu inaweza kuwa wewe Upo very harsh na hao mademu hawawezi kukuchukulia poa... Jitahdi uwe calm
Yan boy mm ni mtu mmoja calm sana madem ndo wananizinguaga
 
Ndugu zangu wana jf ,, ndugu yenu nashindwa kuelewa na kwama wp kwan kila nikipata girl friend hauishi mwaka tushaachana ,, kupata mwingine ndo mtihani kabisaaa,,, pia licha ya kuwa na hao girlfriends wote sjawah ku do ,, nashindwa kuelewa nakwama wp
Kifanyio unacho ?
Maana inawezekana unajiuliza maswali wakati hata kifanyio hauna.

Kifanyio ni dick
 
Domo zege,itakuwa ukiwa na msichana unaongea vitu vya hovyo hovyo!
 
Tatizo unajenga mahusiano na watu ambao wamekuzidi vitu vingi! Jifunzie kwa wale wa kawaida kwanza! Ukipata uzoefu ndipo utafute hao wa daraja tofauti na lako.
 
Back
Top Bottom