Jumamosi & jumapili unzitumiaje ukiwa na mpenzi wako?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,174
39,936
Jumamosi & jumapili unazitumiaje ukiwa na mpenzi wako?Ni vizuri kwa watu wanaopendana iwe ni wapenzi, mume,mke au familia kutumia siku za mapumziko (wkend) au siku yoyote itakayowakutanisha kwa

kula,kunywa,kufarijiana,kuonyeshana hisia n.k pamoja.Ni aibu kwa mtu kujiweka bize na kuishi kama hana mtu wa kufarijiana naye;huku akijua maisha ya hapa duniani ni mafupi (kuishi miaka 80 ni bahati).Je hizi siku unazitumiaje?
 
Anza kusema wewe unaitumiaje!
Jumamosi & jumapili unzitumiaje ukiwa na mpenzi wako?Ni vizuri kwa watu wanaopendana iwe ni wapenzi, mume,mke au familia kutumia siku za mapumziko (wkend) au siku yoyote itakayowakutanisha kwa kula,kunywa,kufarijiana,kuonyeshana hisia n.k pamoja.Ni aibu kwa mtu kujiweka bize na kuishi kama hana mtu wa kufarijiana naye;huku akijua maisha ya hapa duniani ni mafupi (kuishi miaka 80 ni bahati).Je hizi siku unazitumiaje?
 
Oouh...afadhali basi ndicho nikifanyacho mkuu.Ni kweli mkuu...nawe mayai mayai?
Ni vizuri mkuu,kama una nguvu ya kutembea,tembea tu;wapo ambao wameshindwa kutembea kwa miguu kuwa mizito (afya).
 
Ni vizuri mkuu,kama una nguvu ya kutembea,tembea tu;wapo ambao wameshindwa kutembea kwa miguu kuwa mizito (afya).
Haswa...

Eeeh wewe mpenzi wako unaenda nae wapi jumamosi na jumapili labda nami nitajifunza niwe namleta kibonge wangu?
 
Haswa...

Eeeh wewe mpenzi wako unaenda nae wapi jumamosi na jumapili labda nami nitajifunza niwe namleta kibonge wangu?
Nasubiri jua lipoe kwanza...nitafute eneo lenye mahaba tukashangae shangae kidogo mkuu
 
Kwa sisi Vijana damu ya moto. Leo amekuja getto kapika, saivi tunakula tunda baadaye tunaenda sehemu kupasha kidogo na muziki kwa mbali.

Ataondoka Kesho Jioni kurudi kwao.
 
Kwa sisi Vijana damu ya moto. Leo amekuja getto kapika, saivi tunakula tunda baadaye tunaenda sehemu kupasha kidogo na muziki kwa mbali.

Ataondoka Kesho Jioni kurudi kwao.
Hiyo imekaa vizuri,na inajiandika katika historia yako ya kimahusiano ukiwa katika hii sayari inayofahamika kama Dunia
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Back
Top Bottom