Usithubutu kuanzisha mahusiano na mwanamke mjinga

Usithubutu kuanzisha mahusiano na mwanamke mjinga

joshydama

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2016
Posts
4,623
Reaction score
5,052
Habari wanaJf. Ndugu zangu wana Jf na kwa vijana wenzangu ambao hamjaoa au mnaelekea kufunga pingu za maisha au bado mpo kwenye mchakato wa kutafuta mpenzi/ mchumba. Usijaribu kuanzisha uhusiano na wanawake wafuatao:

1. Mwanamke mpumbavu/ mbumbumbu.

2. Mwanamke aliyeachika/ mtalakiwa/ Single mother.

3. Mwanamke ambaye hana elimu.

Ukiangukia katika makundi hayo utateseka maisha yako yote.
 
Hatari sana.Kumjua mtu mpumbavu/mbumbumbu mzungu wa reli inahitaji ufunuo.Kuna wengine ukikutana nao na namna anavyo igiza unaweza kuingia kingi.Halafu,mimi nilidhani ukiwa na mtu mpumbavu ndiyo safi ili uwe unamuazima akili zako na zake unamshikia.
 
....mi nilikuwaga na demu huyo mkiwa wenyewe wawili mnaongea vzr tu. Ila
mkishakuwa mtaani anapayuka payuka
sana ,anawez akakufundisha hata
kukaa chini(mtaani ulipokuwa nae) While ghetto kwako we ndo ulonunua masofa.
Refer :Usioe mwanamke mjinga.
 
Habari wanaJf. Ndugu zangu wana Jf na kwa vijana wenzangu ambao hamjaoa au mnaelekea kufunga pingu za maisha au bado mpo kwenye mchakato wa kutafuta mpenzi/ mchumba. Usijaribu kuanzisha uhusiano na wanawake wafuatao:

1. Mwanamke mpumbavu/ mbumbumbu.

2. Mwanamke aliyeachika/ mtalakiwa/ Single mother.

3. Mwanamke ambaye hana elimu.

Ukiangukia katika makundi hayo utateseka maisha yako yote.
Uko sawa kabisa ila inahitaji mda kidogo kujua kama ni mbumbumbu. 2 na 3 hizo hazina mjadala zipo wazi.
 
Back
Top Bottom