Majeshini hakuna wanaume wa hovyo!

Africa Tanzania

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
1,504
2,261
Mwanadada ambae una ndoto za kuolewa na mtu mwenye sifa zote za mwanaume....Nakushauri waamini hawa askari!

Ni shupavu, wanajitambua, hawasusi ovyo, pia wanaaminika na serikali kwa 100% sasa wewe kwanini usiwaamini?

Ila ukitaka mwanaume mtakae shindana kupaka poda, make up, kuvaa hereni na urembo wote...chagua huko kwengine!
Na 100% majeshini hakuna wanaume wenye sifa za ushoga.

Kijana yoyote wa kiume aliyepita mafunzo ya kijeshi ana uweledi mkubwa sana wa maisha, yaani hata kuangusha wewe mkewake hata watoto wako!

Nimetoa ushauri tu.....

NB: mtoa somo sio lazima nae alifaulu
 
Dawa ya jeshi Vita hapo ndo mambo Moto Kama hukufatilia wkt wa Vita ya kagera Kuna njemba zilikuwa zinajiuguza ili wasiende vitani..
 
kama umeolewa na mwanajeshi hongera...lakini mimi nishawahi kuwatafunaga hao tena walikuwa ndani ya ndoa
 
Ao ambao wana uliwa na mapenzi. kuliko ata risasi
naijatwittersavages-20190903-0002.jpeg
 
Mwanadada ambae una ndoto za kuolewa na mtu mwenye sifa zote za mwanaume....Nakushauri waamini hawa askari!

Ni shupavu, wanajitambua, hawasusi ovyo, pia wanaaminika na serikali kwa 100% sasa wewe kwanini usiwaamini?

Ila ukitaka mwanaume mtakae shindana kupaka poda, make up, kuvaa hereni na urembo wote...chagua huko kwengine!
Na 100% majeshini hakuna wanaume wenye sifa za ushoga.

Kijana yoyote wa kiume aliyepita mafunzo ya kijeshi ana uweledi mkubwa sana wa maisha, yaani hata kuangusha wewe mkewake hata watoto wako!

Nimetoa ushauri tu.....

NB: mtoa somo sio lazima nae alifaulu
Jeshini watu wa hovyo ulevi, pombe, sigara, ngono , bangi, milungi, rushwa iliyotukuka , matumizi ya nguvu bila weredi.
 
Mwanadada ambae una ndoto za kuolewa na mtu mwenye sifa zote za mwanaume....Nakushauri waamini hawa askari!

Ni shupavu, wanajitambua, hawasusi ovyo, pia wanaaminika na serikali kwa 100% sasa wewe kwanini usiwaamini?

Ila ukitaka mwanaume mtakae shindana kupaka poda, make up, kuvaa hereni na urembo wote...chagua huko kwengine!
Na 100% majeshini hakuna wanaume wenye sifa za ushoga.

Kijana yoyote wa kiume aliyepita mafunzo ya kijeshi ana uweledi mkubwa sana wa maisha, yaani hata kuangusha wewe mkewake hata watoto wako!

Nimetoa ushauri tu.....

NB: mtoa somo sio lazima nae alifaulu
Sawa mke wa askar
 
Nakwambia hivii mijitu ya hovyo ni ya kutoka jeshini wengi tu hawana hata marinda usiogope wanavyovunja tofali kwa kichwa, wali nazi tu wale tunawala bila kijiko kwa mkono tu kama wali msibani. Tafakari chukua hatua.

Akili za kuambiwa ongeza na za kwako Nilikua na kibanda kange na kulikuaga na mwanajeshi mmoja hivi alikua anapenda kuja na kushinda sana pale..sasa siku moja ikapotea flash kumuuliza akakataa baada ya kupita siku kadhaa akaileta ebana nilimvutia ndani nikampa za faster..
Ebu fikiria mwanajeshi gani anapigwa na muuza memory..maana yake hata jeshini maboya wapo tu...
 
Usimchukulie poa muuza memory labda alitoroka jeshini😀
 
Nakwambia hivii mijitu ya hovyo ni ya kutoka jeshini wengi tu hawana hata marinda usiogope wanavyovunja tofali kwa kichwa, wali nazi tu wale tunawala bila kijiko kwa mkono tu kama wali msibani. Tafakari chukua hatua.

Ulikosa nafasi jeshini eeh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom