Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,710
- 63,393
Mahusiano mazuri uimarisha uchapaji kazi.Kama mnaelewana vizuri na mpezi wako,mume au mke wako ufanisi wa ufanyaji kazi au utafutaji wa pesa unakuwa ni mkubwa.Na hii nilishashuhudia,unajikuta unawahi kazini mapema unafanya kazi huku ukitabasamu kwa sababu unakuwa na uhakika na back up yako.Ukiwa na uhusiano usiokuwa na afya,migogoro inakuwa ni mingi na utendaji kazi hupungua na nuru/tabasamu pia hupotea.Unakuta muda wote mtu anakuwa 'frustrated' tu.Hata humu jamvini tunashuhudia kuna wengine majibu yao yanaonyesha kwenye mahusiano kuna shida.Nashauri tuimarishe uhusiano.