jjs2017
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 2,027
- 4,316
Habari zenu wana jf ... Ana hitaji kuwa barmed kutokana na ugumu wa maisha anao pitia. Anaomba ushauri wenu na ni njia zipi atumie anapokuwa muhudumu kuepuka ku laghaiwa ..Napia anaomba kujua background za hii kazi na ni mbinu zipi atumie
Nb; Lugha chafu haziruhusiwi..
Nb; Lugha chafu haziruhusiwi..