Mashoga wamevamia mitandao ya kijamii, wanatongoza watu kwa nguvu, niliwakimbia facebook, sasa wamenifuata Twitter na Instagram

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,320
Sijui hii adha nakutana nayo mimi mwenyewe au kuna watu wengine wanakabiliana na hii hali.

Niliacha kutumia facebook kwa sababu ya usumbufu wa mashoga, tena vijana wadogo kabisa na wengine watu wazima, nikahamia twitter na Instagram, sasa naanza kukabiliana na hali ile ile iliyoko facebook. Sasa sijui nikimbilie wapi au tunaokutana na hali kama hii tukimbilie wapi.

Mtu anakufollow, kisha bila hata kukuuliza kama wewe ni mpenzi wa makalio yeye nakutumia tu picha ya makalio yake bila ridhaa yako, sijajua kama ni kubahatisha ila jamani mashoga mnatukwaza wengine.

Jamani watu wengine hatupendi makalio yanu, mimi napenda makalio ya wanawake lakini kwa kuyaangalia na kuyashikashika na kuyachezea tu na si vinginevyo. Msitusumbue.
 
Mitandaoni pamechafuka mnoo. Huko whatsapp, telegram kuna groups kama zoote za mashoga. Yani ukiamua kupiga shoga leo sio shida kabisa.

We are doomed for real.

Unforgetable
 
yawezekana unavyocomment huko wanakuchukulia namna gani, ndiomaana unajikuta shoga kakulengeshea trako lake dm.
 
MKUU HAO DAWA YAO MOJA TU, HUKU KWETU SHOGA AKIKUTAKA UNAPANGA NAE FRESH MNAONANA AKIFIKA TU MNAMUWEKA MTU KATI MNAMCHUKULIA SIMU YAKE NA PESA....
Huwa wana vitu vya gharama sana hasa simu na cheni kali.
 
Hawa mashoga wanakera saana. Siku moja nmekaaa pale the great pub wakaja mashoga wengi yan wanaume wanatembea wanabana sauti wakaja wanakaa tulipo kuwa tumekaa hawana aibu kabisa wanalegeza sauti wanaomba wanunuliwe bia.

Wanakera hawa jamaaa dah...
 
Back
Top Bottom