Kwenye simu yako Mchepuko wako umeu-save kwa jina gani ?

Kamwene kamwene

JF-Expert Member
Jul 7, 2019
1,159
2,585
Wasalaamu!!! Weekend ndio hiyo imepamba moto
Sasa tuambiane majina ya michepuko tuliyoyasave kwenye simu zetu.
Nikianza na mimi ninao wawili wa
kwanza nimesave crdb mkopo uyu hata usipopokea simu yake unajibu nadaiwa siwezi kupokea
Wa pili nimesave UVCCM mweyekiti nsipopokea simu nasema wanataka kunikumbusha nikalipie card
Wa tatu nimesave Dalali akipiga nisipopokea nasema nilimwambia atutafutie kiwanja
Wewe umesave jina gani ? Na kwanini ?
 
Wasalaamu!!! Weekend ndio hiyo imepamba moto
Sasa tuambiane majina ya michepuko tuliyoyasave kwenye simu zetu.

Nikianza na mimi ninao wawili wa
kwanza nimesave crdb mkopo uyu hata usipopokea simu yake unajibu nadaiwa siwezi kupokea

Wa pili nimesave UVCCM mweyekiti nsipopokea simu nasema wanataka kunikumbusha nikalipie card

Wewe umesave jina gani ? Na kwanini ?
Mautamu
 
Kung fu master
 
Mi wangu nishawahi kusave "kamanda kanda maalum" lakini nilishitukiwa. Najiuliza mpaka leo alijuaje, sipati picha na yeye hasemi njia aliyotumia.
Badae ili kuepusha usumbufu nikanunua katecno ambako kalikuwa hakafiki nyumbani kabisa, sasa kuna kipindi nilipotea siku tatu, anayechajisha akaamua kumpa wife, nikawa uchi kabisa.
Sema nilikana kwamba hiyo simu sio yangu kabisa na siijui (coz marehemu baba alinifundishaga usijaribu kukubali kosa kwa mkeo, mwache aongee na wewe jirekebishe tu hilo kosa na yanaisha)
Now nimeamua kutulia tu.
 
Baharia hamsave mchepuko wake majina ya ajabu, sana sana mabaharia huwa hatusave namba za michepuko, labda unaweza ukaisave namba ya mchepuko kwa alama ya "~" au "¥"
Na hapo unakaa unajua ¥ ni fulani na ~ ni fulani. Mabaharia tuko hivyo!
 
Mi wangu nishawahi kusave "kamanda kanda maalum" lakini nilishitukiwa. Najiuliza mpaka leo alijuaje, sipati picha na yeye hasemi njia aliyotumia.
Badae ili kuepusha usumbufu nikanunua katecno ambako kalikuwa hakafiki nyumbani kabisa, sasa kuna kipindi nilipotea siku tatu, anayechajisha akaamua kumpa wife, nikawa uchi kabisa.
Sema nilikana kwamba hiyo simu sio yangu kabisa na siijui (coz marehemu baba alinifundishaga usijaribu kukubali kosa kwa mkeo, mwache aongee na wewe jirekebishe tu hilo kosa na yanaisha)
Now nimeamua kutulia tu.

Ni kosa kubwa sana kukubali kosa kwa mke wako,eti samahani mke wangu huyu ni mchepuko wangu...

Kwaiyo jamaa anayechajisha simu alichomoa battery
 
Baharia hamsave mchepuko wake majina ya ajabu, sana sana mabaharia huwa hatusave namba za michepuko, labda unaweza ukaisave namba ya mchepuko kwa alama ya "~" au "¥" Na hapo unakaa unajua ¥ ni fulani na ~ ni fulani. Mabaharia tuko hivyo!

Usishangae kukuta biblia kwa mganga..
Kuna wakati inatakiwa usave kwa mission maakumu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom