Kwa kipindi sasa naimekuwa fashion kubwa sana Mahusiano Mengi kutosimama wala kuwa na hulka ya Heshima tena hasa kama Mnaishi Mbali ila niwambie kitu Mwanamke akianza tabia ya nje hata uwe na hela...
Habari zenu humu ndani.
Mwenzenu leo sina furaha sana maana akili yangu yote inamuwaza Hajir mpenzi wangu tuliyeachana nae kama miezi zaidi ya minne sasa.
Sema ukweli nilikuwa nampenda sana...
Kwa masingle mnaweza nishangaa...ila ni kweli kabisa, ndoa sio suruhisho la upweke.
Ikiwa ni Mwaka wa tano sasa kwenye ndoa na hatujafanikiwa kupata mtoto maisha yangu yamejaa lots of common...
Habari zenu wana bodi,
Ni kwamba tangu utotoni Nilikuwa na tabia ya huruma kupita kiasi. Mfano mtu akipatwa na tatizo najikuta namhurumia sana mpaka inapelekea niumie sana kana kwamba tatizo ni...
Hivi nyie wamiliki wa nyumba mmekuaje? Kwa hili mnazingua sana shida yenu ni pesa au??
Toka last week nahangaika sehemu ya kupanga, nimenda almost sehem 3 eti mwenye nyumba anakwambia...
Mimi binafsi naona hawa wenzetu wa jinsia ya kike swala la kuvunja mahusiano kwao ni kitu cha kawaida sana! Hawaumii km sisi ndio maana haoni hatari kama akipata mtu wa maslahi muda wowote hata km...
Katika tembea tembea zangu mwenyewe nikiwa mpweke, kwambaali nikaona watu wawili Nika ashum wote watakua ni wanawake, hivo basi nikakaza mwendo kidogo ili niwafikie ili angalau nuwasalimie Tu na...
Watu wengi walio lonely ambao hawana kazi ndo huwa wanaangaika sana na mapenzi na ikitokea wameachana huwa anaumia sana maana mara nyingi un anakuta unamuwaza
Ila kama una mambo yako uko busy...
"Mzee wa kasumba"
Ninakabiliwa na matatizo makubwa hasa katika upande wa kusaka ngenya / papuchi / vipochi manyoya.
Siku kadhaa zilizopita nilileta UZI wa kudai kuwa Nina upepo wa kuachwa achwa...
Kila mzazi hufurahia mtoto anapofikia umri wa kutambaa na hatimaye kusimama na kutembea. Mtoto anakuwa amepata uhuru mpya unaomuwezesha kutoka sehemu moja kwenda nyingine mwenyewe. Pamoja na...
Ndugu zangu wanaJF, ndugu yenu nashindwa kuelewa nakwama wapi kwani kila nikipata girlfriend hauishi mwaka tushaachana. Kupata mwingine ndio mtihani kabisa. Pia licha ya kuwa na hao girlfriends...
Habari zenu wana jf ... Ana hitaji kuwa barmed kutokana na ugumu wa maisha anao pitia. Anaomba ushauri wenu na ni njia zipi atumie anapokuwa muhudumu kuepuka ku laghaiwa ..Napia anaomba kujua...
Habari wanaJf. Ndugu zangu wana Jf na kwa vijana wenzangu ambao hamjaoa au mnaelekea kufunga pingu za maisha au bado mpo kwenye mchakato wa kutafuta mpenzi/ mchumba. Usijaribu kuanzisha uhusiano...
Kwa kweli kuanzia sasa sitaki niwe na mahusiano na binti aliye chini ya miaka 25, nimekuwa na mabinti wa umri tajwa. Licha ya kuwa na maumbile ya kuvutia na miili iliyostable, kumbe kwenye sita...
TUMPONGEZE MAJAY KWA KUMSUBIRI LULU AKUE
STAA wa Bongo Movie, Elizabeth Michael 'Lulu' na CEO wa E Media, inayomiliki redio EFM na runinga ya ETV, Francis Ciza 'Majay', wameshatangaza ndoa...
Wasalaam ndugu,
Nahitaji kujua kutoka kwa wale ambao mmeingia katika ndoa lakini mmekulia katika familia ambazo wazazi wenu hawakuwa na maelewano mazuri au walitengana kwa hiyo ikakulazimisha...
1. Hujifanya yupo tayari kukfanyia lolote hata liwe nje ya uwezo. Hapo b4 hujampa mwili wako.
2. Mwanzoni mkiwa mnawasiliana anajidai hapend ngono na hana haraka nayo.
3. Bingwa wa kukutambulisha...
Habari naombeni ushauri!!nimekuwa kwenye mahusiano na binti almost miaka minne japo ni dini tofauti yeye muislamu,mimi mkristo!!Tumefanya vitu vingi sana pamoja na kushirikiana katika mengi tu...