Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Baada ya kukaa mjini mda mrefu mwezi ulopita niliamua kwenda kijijini kuwasalimia wazazi. Katika mizunguko ya hapa na pale hapo kijijini nilikutana na rafiki angu wa toka kitambo japo sikua na...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Hii ipo sana, wanaume tusiokuwa wazungumzaji ktk kutongoza huwa ni shughuli pevu sana [emoji16],ila Mara nyingi tunapendwa na wanawake waongeaji sijui kwa sababu zipi, ikitokea tumemuelewa...
16 Reactions
64 Replies
18K Views
Beatrice Acen kutoka wilayani Apac nchini Uganda, Moses Okot (46) anauguza jeraha baada ya mkewe kumkata uume kwa madai ya kukosa unyumba. Ingekuwa ndio mimi nimekatwa 'uume', lazima ningekata...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
ADAMU alipo ulizwa na MUNGU je ulikula tunda nililo kuagiza usilile. Adamu akajibu si huyu mwanamke uliye nipa ndiye aliye nipa. Badala ya Adamu kuomba msamaha kwa kosa lake, badala yake...
9 Reactions
38 Replies
3K Views
Habari wanajamvi, Nina balaa hapa, hadi hivi sasa nimekimbia chumbani maana hakukaliki! Kifupi nina mchumba tayari ila kwa bahati mbaya yupo mbali sana, suala lililoniweka mbali naye kwa...
4 Reactions
158 Replies
17K Views
Habari za usiku Hivi kuna mtu anayefaham sleeping paralysis mara nyingi utokea ukiwa umelala sana kuna hali inakuja ya kutaka kuongea na kushindwa katika usingizi Hivi hii hali na inaweza...
4 Reactions
83 Replies
10K Views
Salamu ziwafikie. Nawapenda ndugu zangu. Lililonileta hapa Leo. Naomba ushauri juu ya hili.... Ni biashara gani naweza kufanya kwa mtaji wa fedha ya kitanzania yenye thamani ya shilingi milioni...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Kama zari tu juzi kati nilipata dili flani la kishkaji nikaepa mpaka Kenya, Wakati wa safari nilikuwa nawaza nifike tu ili nitafune viumbe wa huko wanaosifiwa kwenye jukwaa lao lile,. Nimefika...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionWaandamanaji walikabiliana na polisi nje ya bunge la Indonesia katika mji mkuu Jakarta Polisi wamefyatua gesi za kutoa machozi na maji kwenye makundi ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mapenzi ni mhemko wa hisia za kupenda/kuvutiwa baina ya mwanamke na mwanaume.. mapenzi ni muunganiko wa kile kilichotenganishwa Kati ya mwanamke na mwanaume ,namaanisha jinsia. Mapenzi ni...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
maneno yasiyo na maadili ni kama uchafu mdomoni pako.enyi mabinti na kina mama na hasa wa dar es salaam acheni kuiga tabia za wanaume za kutukana ovyo.ni fedhea sana unakuta mwanamke anamwambia...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za Leo wapendwa, Nimekutana na wake wa wazungu wanaishi Tanzania wangine ughaibuni. Maisha kama mke wa mchina huko kwao yakoje kwa waliofika nchi hiyo. Ninaomba ushauri wakuu maana hii...
6 Reactions
96 Replies
10K Views
Aisee hakuna kitu kinachosikitisha kama kuona mwanaume mwenzako anadhalilika mbele yako na mwanamke halafu yeye anajichekesha chekesha tu kuficha madhaifu,kila huwa nikiangalia kipindi kimoja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wewe mwanamke kwa nini uliachwa na mpenzi wako wa kwanza au kwa nini unaendelea kuachwa? Na wewe mwanaume kwa nini ulimuacha mpenzi wako au kwa nini unaendelea kuacha?Haya maswali yanahitaji...
5 Reactions
173 Replies
9K Views
INAUMA SANA. Kuna mama mmoja ni mtu mzima tu jilani yangu kila jumapili saa kumi na moja mumewe akitoka kwenda kanisani yeye muda huo huo huingiza mwanaume mwingine ndani. Jumapili ya leo...
9 Reactions
72 Replies
7K Views
  • Closed
habarini!! nimepata taarifa hii leo kutoka kwa swahiba wangu flani hivi,.....hebu tujaribu tuone kama ni kweli inafanya kazi. kaitumie na ulete mrejesho tafadhali. inahusu lile tatizo la kupiga...
8 Reactions
44 Replies
14K Views
  • Closed
Jamani, kila nikimaliza kugegeda, asilimia 97 za papuzi nilizopitia hutoa mlio flan hv unasikika km 'ppprrrrrrr'....yaani upepo si upepo sijui n nn! Ni mm tu au tuko wengi humu? Ni nn hicho...
3 Reactions
97 Replies
25K Views
Wanaosema tuoe tabia nzuri, wanadai uzuri ni kitu cha muda, mwanamke mzuri huwa hivyo katika umri fulani pekee, hasa ujana. Kwa hiyo kadri umri unavyosonga ulimbwende nao unapukutika. Hii maana...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
  • Closed
Wandugu hali ni mbaya mpaka inaogopesha.... USHOGA Tanzania si jambo la ajabu sana kivile.... Nimesoma kwa kushtuka post ya NAKWEDE kuhusu jamaa mbaba wa familia kuwa na bwana... Yaani...
6 Reactions
98 Replies
56K Views
Mimi nimeoa takribana miaka3.9 sasa mimi na mke wangu tunaishi nyumbani kwa wazazi wangu kwa miaka yote hii tangu tuone hadi hii leo kilichonileta kwenu JF hivi. Wiki tatu zilizopita mdogo wangu...
1 Reactions
122 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…