Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,632
- 697,845
Wandugu hali ni mbaya mpaka inaogopesha.... USHOGA Tanzania si jambo la ajabu sana kivile.... Nimesoma kwa kushtuka post ya NAKWEDE kuhusu jamaa mbaba wa familia kuwa na bwana... Yaani analawitiwa... Kilichonistua sio huyo mwanandoa kwakuwa wapo wengi wa kaliba yake wenye hizo tabia lakini wanafanya kwa kificho sana.
Kilichonistua na kunisononesha sana ni mosi.. USHOGA Tanzania kuenea kwenye mikoa mingine ukiachana ile ya mwambao ama inayopakana na mwambao.... In this case MWANZA.
Pili ni uthubutu wa vijana wadogo kabisa wa kiume wakijinasibu kujitangaza na kujinadi kuwa wao ni mashoga na wana magroup mitandaoni yenye majina yanayotambulisha upuuzi wao huo.... Tunaipeleka wapi hii nchi?
Kiasili USHOGA una viasili na pwani... Unajua ni kwanini? Miji ya pwani wakazi wake kwa sehemu kubwa sio watu wa kazi ngumu... Hii ni kwa sababu kila kitu wanakipata kwa urahisi na unafuu. Wengi wakijishughulisha na uvuvi, uvunaji wa nazi, bustani za mboga mboga na shughuli nyingi zisizohitaji nguvu nyingi
Mwili ukipata kila kitu na ukakosa changamoto na kazi za kuchosha mwili.. Vitamin na protein za ziada hutafuta mahali pa kutumika.... Sehemu nyingi za mwambao kuna ubwanyenye, umwinyi na utwana... Huku ndio USHOGA ulizaliwa na kuenezwa ama kusambazwa taratibu sehemu nyingine za nchi.ILIKUWAJE HAPA? Nachelea kuuhusisha na wageni waliotoka mataifa ya kiarabu kwa sababu za kiimani
Kwa hiyo miaka nenda miaka rudi. USHOGA Tanzania umetanabahishwa na ukanda wa mwambao.... Hii yote inatokana na kazi za nguvu na ngumu wanazofanya wale ambao si wa mwambao... Wakijulikana kama wagumu ama wanaume wa shoka nk
Mshtuko unakuja unapoona mikoa isiyodhaniwa kuwa na tabia hizi hovyo ndio sasa kinara kuna mpaka makundi ya vijana wanahamasishana... Hakuna kuchekana tena... Hakuna ugumu tena.. Wote sasa ni mchelemchele na ngangaripoa. Tofauti ni moja.... Wa pwani ni wazuri wasafi na wanajua kujiremba na kuvaa huku wa huko kwingine mikoani. MWANZA ni wachafu, sura ngumu na wachafu kabisa