Mzee wa kasumba anaomba ushauri

Mzee wa kasumba anaomba ushauri

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
1,440
Reaction score
2,966
Salamu ziwafikie.
Nawapenda ndugu zangu.

Lililonileta hapa Leo.

Naomba ushauri juu ya hili.... Ni biashara gani naweza kufanya kwa mtaji wa fedha ya kitanzania yenye thamani ya shilingi milioni moja tuu (yaani namaanisha 1,000,000/=)

Najua Ni pesa ndogo kwa baadhi ya watu, lakini kwa upande wangu nimeitafuta kwa mbilinge Sana mpaka kufikia hapo.

Eneo.
Mimi nipo mkoani (MBEYA) ki maisha.


- Ushauri wenu unahitajika
- Mapovu pia nitayapokea na kuyafanyia kazi.

Asante
Namalizia tena kwa kutoa shukrani za dhati.
 
Fungua kanisa huko mkuu,
Uanze kuitwa baba mchungaji.
Inalipa sana hasa ukipata sehemu yenye muingiliano wa watu.
 
Back
Top Bottom