Ushauri wenu wanaJF, mke wangu ana tabia za umbea

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
1,172
2,000
Mimi nimeoa takribana miaka3.9 sasa mimi na mke wangu tunaishi nyumbani kwa wazazi wangu kwa miaka yote hii tangu tuone hadi hii leo kilichonileta kwenu JF hivi.

Wiki tatu zilizopita mdogo wangu alikuwa anaoa na baada ya kuoa tunaishi nae hapa nyumbani yeye na mke wake mdogo waliolea mkoa mwingne hivo basi wakati wa harusi biharusi alisindikizwa na somo yake kwa hiyo nae somo tulikuwa nae ktk nyumba hii sasa baada ya kumtawisha kesho yake somo akahitaji kwenda kumnunulia vitu sokoni biharus ikabid mama yngu mzazi amwambie mke wangu msindikize sokoni sasa kwa maelezo ya somo wakati wanaenda sokoni mke wangu akawa anamuelezea somo mambo ya nyumba hii kuhusu wakwe akawa anamwambia kuwa hawa wakwe ni wabaya wanaroho mbaya wananinyanyasa sjui kama ndgu yenu ataweza kuishi humu ndani basi somo anasema hakuongea chochote.

Baada ya somo kuondoka kurudi kwao somo alimfuata mshenga wetu waharusi ambae alikua anatuwakilisha huko akamuelezea yoote alioambiwa na mke wangu kuhusu wakwe zake.

Yule mshenga ambae ni ndgu ikabid ampigie sim kumuelezea hizo habari mke wangu,mke wangu akakataa katakata kuongea akabaki analia tu nakuna maneno mke wangi akamwambia mshenga hakuyapenda hiyo alimwabilia kwa sms ikabid mshenga akawaelezea wazazi yoote alioambiwa na somo ikabid tuweke kikao ambacho skua najua nicha nini ila wazazi tayar inaonekana walikua washakaa wenyewe wameonge ila kikao ikawa nikufahamishana mambi ya ndani yasiwe yanatoka nje wala nje yasiwe yanaingia ndani

Sasa baada yakikao mke wangu akawa mnyonge sana akawa najitenga na mama mkwe wake na pia akawa anjitenga na mke mpya wa mdogo wangu hivyo ikapelekea wazazi kuona mabadiliko yake hayo yoote yanatokea hakuwahi kukaka au kuwaomba wazazi wangu wakae waongee nae kuhusu hizo habari zikoje koje lakini mke wangu walaa hana habar wakuwaza kukaa.

Mambo yakawa yanaendelea kumbe nje akienda kuhemea sokoni mke wangu anawahadhia wamama wasokoni kuwa amezushiwa mambo kwamba amewasemea wakwe zake kwa watu kuwa wa roho mbaya wanamtesa hayo mambo kumbe wale wanohadithiwa nao wanayaleta wanaambia ndgu zangu na hata baadhi wanamwambia mama yangu juu ya hayo maneno kuwa wanamtesa wanaroho mbaya na siku akihama kwenda kwake atafanya sherehe

Ikawa sasa mke wangu anajitenga nawazazi wangu na pia anajitenga na mke mpya wa mdogo mim binafsi hali hiyo niliiona nkawa nambembeleza sana kwa upendo anambie lakini katakata kagoma kunambia kulikoni zaid anakua nikulia mda wote analia tu.

Baada ya siku tatu hivi tena akiwa anatokea sokoni mke wangu akiwa kashika kitu mkononi akakutana namama yangu,mama akamuuliza hiko nin mke akasema kitenge cha harus ya jirani mama akamwambia kwa hiyo utakua unashona sare kila harusi utakayo alikwa maisha hayako hivo mwanangu usiwafurahishe watu kwani ukihudhuria nakutoa mchango utapungukiwa nini maana harus yetu haijapita wiki mbili tumeshona majuzi hapa kwa jirani umevaa sare na leo unaenda tena kushona sare ya hiyi harus ya mtaa wa tatu sasa maneno yakamwingia mke wangu hakupenda hakufutahishwa na hiyo nasaaa..kumbe baada ya masaa matatu nyumbani walikuepo bado wapo wageni wakike waupande wa baba yngu waliokuja kwenye harusi ambao mke wangu alikua nao karibu sanaa akafika anawahadithia kimafumbo kuwa kuna watu hawapendi hela zao kuliwa wanuchungu na hela zao kumbe mama alikua chooni anaskia kutoka nje baadae akawauliza wale ndgu kuwa mlikua mnaongea nini wakamuhadhithi yote baadae mama kumuliiza akasema nikweli niliyasema baada ya sku tatu tena mke wangu akaenda kumwambia shangazi yangu tunaishi nae jirani akamwambia kazushiwa mambo juu ya wakwe zake hapo hali yakua mke wangu hata hajakaa na wazazi wangu kuwaelezea ikoje ikoje hiyo kitu zaid anayapeleka nje kwa watu

Sasa wakati kabla ya harus ya mdogo wangu kulikua na sakata zito sana linalomuhusu mdogo wangu na hawala ambae alimpelekea mdogo wangu kfanya ubadhilifu mwingi sana wahela sasa mdgo wangu alikua anataka amuoe huyo mtu sasa sisi tukaona hamfai nayuko kimaslahi kumbe ktk vikao vyoote tuanavyokaa mke wangu kumbe anayatoa nje tunayaskia kwa watu ambao nimashoga zake na baaadhi ya watu amekuoa nao karibu ukifuatilia kiundani unakuta yanakweli kabisa maana vikao tulikua watu wachache muhimu nayeye akiwemo

Ikabidi mimi nianze uchunguzi wangu ktk uchunguzi wangu kuna sku nlimuomba sm yake nipige picha document nkasema ngoja niperuzi nikakutana na sms nyingi sana ambazo alikuwa anachati na huyo hawala wa mdgo wangu ambae familia nzima tunampiga vita kumbe mke wangu yeye akawa anamuhadhia yoote na sms nying akawa anampa ushauri nahata kudoza mambo au tabia za wazazi wangu kwahuyo mwanamke.

Nkajiuliza huyu vip mtu amabae sis tunampiga vita alafu ndo achati nae mda wote siku nkakaa nae nakamuelezea kuwa ww huwa unamwasiliano na mtu flani maana anatangaza habari zote za humu ndani anazipata lakini mke wangu alikataa katakata wakat minajua fika wanawasiliana

Vile vile ktkt vikao vya sisi wandani tu tulivyokua tunakaa nae akiwemo kujadili harus mamabo tunayojadili baada ya muda utayaskia nje ukiyaangalia unakuta anahio tabia

Pia lingine nimemchunguza kwa kina amekua simchungu sana wahela anatumia sana kuvaa hakuna hata siku ananishauri mambo ya msingi kimaendeleo zaid yakuzungumiza habari za watu

Pia maekua natabia yakupita kwao mara kwa mara maana kwao nimtaa watatu kutoka tunapoishi yaani hata awe anaenda sehemu ya juu napalipo kwao lazima atapitia kwao pabila sababu yoyote hakuna anaeumwa kwao na sm zipo.

Tangu masakata yoote haya amekua mtu wakunilazimisha kuhama hali yakua nimemuelezea hali halisi.

Jingine kubwa tangu tuoanae hajawahi kukaaa na mim kunielezea matatizo yake anayoyapitia zaid huwa nikiondoka tu atatuma sms nyingi sana zakulaumu lakini nkirudi nkimbembeleza tuongeee hakubali katakata ye amekua nimtu wakunambia mlalamiko yake kwa sms nasi kwamazungumzo yamdomo anakwa ana mim nayeye
Niishie hapo wanajamiiforum naombeni mawazo yenu katika hili
 
Dr. Wansegamila

Verified Member
Feb 3, 2012
2,547
2,000
Mimi nimeoa takribana miaka3.9 sasa mimi na mke wangu tunaishi nyumbani kwa wazazi wangu kwa miaka yote hii tangu tuone hadi hii leo..kilichonileta kwenu jf hivi
Wiki tatu zilizopita mdogo wangu alikua anaoa na baada ya kuoa tunaishi nae hapa nyumbani yeye na mke wake mdogo waliolea mkoa mwingne hivo basi wakati wa harusi biharusi alisindikizwa na somo yake kwaiyo nae somo tulikua nae ktk nyumba hii sasa baada ya kumtawisha kesho yake somo akahitaji kwenda kumnunulia vitu sokoni biharus ikabid mama yngu mzazi amwambie mke wangu msindikize sokoni sasa kwa maelezo ya somo wakati wanaenda sokoni mke wangu akawa anamuelezea somo mambo ya nyumba hii kuhusu wakwe akawa anamwambia kuwa hawa wakwe ni wabaya wanaroho mbaya wananinyanyasa sjui kama ndgu yenu ataweza kuishi humu ndani basi somo anasema hakuongea chochote...baada ya somo kuondoka kurudi kwao somo alimfuata mshenga wetu waharusi ambae alikua anatuwakilisha huko akamuelezea yoote alioambiwa na mke wangu kuhusu wakwe zake......yule mshenga ambae ni ndgu ikabid ampigie sim kumuelezea hizo habari mke wangu,mke wangu akakataa katakata kuongea akabaki analia tu nakuna maneno mke wangi akamwambia mshenga hakuyapenda hiyo alimwabilia kwa sms ikabid mshenga akawaelezea wazazi yoote alioambiwa na somo ikabid tuweke kikao ambacho skua najua nicha nini ila wazazi tayar inaonekana walikua washakaa wenyewe wameonge ila kikao ikawa nikufahamishana mambi ya ndani yasiwe yanatoka nje wala nje yasiwe yanaingia ndani
Sasa baada yakikao mke wangu akawa mnyonge sana akawa najitenga na mama mkwe wake na pia akawa anjitenga na mke mpya wa mdogo wangu hivyo ikapelekea wazazi kuona mabadiliko yake hayo yoote yanatokea hakuwahi kukaka au kuwaomba wazazi wangu wakae waongee nae kuhusu hizo habari zikoje koje lakini mke wangu walaa hana habar wakuwaza kukaa...mamabo yakawa yanaendelea kumbe nje akienda kuhemea sokoni mke wangu anawahadhia wamama wasokoni kuwa amezushiwa mambo kwamba amewasemea wakwe zake kwa watu kuwa wa roho mbaya wanamtesa hayo mambo kumbe wale wanohadithiwa nao wanayaleta wanaambia ndgu zangu na hata baadhi wanamwambia mama yangu juu ya hayo maneno kuwa wanamtesa wanaroho mbaya na siku akihama kwenda kwake atafanya sherehe
Ikawa sasa mke wangu anajitenga nawazazi wangu na pia anajitenga na mke mpya wa mdogo mim binafsi hali hiyo niliiona nkawa nambembeleza sana kwa upendo anambie lakini katakata kagoma kunambia kulikoni zaid anakua nikulia mda wote analia tu..
Baada ya siku tatu hivi tena akiwa anatokea sokoni mke wangu akiwa kashika kitu mkononi akakutana namama yngu,mama akamuuliza hiko nin mke akasema kitenge cha harus ya jirani mama akamwambia kwaiyo utakua unashona sare kila harusi utakayo alikwa maisha hayako hivo mwanangu usiwafurahishe watu kwani ukihudhuria nakutoa mchango utapungukiwa nini maana harus yetu haijapita wiki mbili tumeshona majuzi hapa kwa jirani umevaa sare na leo unaenda tena kushona sare ya hiyi harus ya mtaa wa tatu sasa maneno yakamwingia mke wangu hakupenda hakufutahishwa na hiyo nasaaa..kumbe baada ya masaa matatu nyumbani walikuepo bado wapo wageni wakike waupande wa baba yngu waliokuja kwenye harusi ambao mke wangu alikua nao karibu sanaa akafika anawahadithia kimafumbo kuwa kuna watu hawapendi hela zao kuliwa wanuchungu na hela zao kumbe mama alikua chooni anaskia kutoka nje baadae akawauliza wale ndgu kuwa mlikua mnaongea nini wakamuhadhithi yote baadae mama kumuliiza akasema nikweli niliyasema baada ya sku tatu tena mke wangu akaenda kumwambia shangazi yangu tunaishi nae jirani akamwambia kazushiwa mambo juu ya wakwe zake hapo hali yakua mke wangu hata hajakaa na wazazi wangu kuwaelezea ikoje ikoje hiyo kitu zaid anayapeleka nje kwa watu
Sasa wakati kabla ya harus ya mdogo wangu kulikua na sakata zito sana linalomuhusu mdogo wangu na hawala ambae alimpelekea mdogo wangu kfanya ubadhilifu mwingi sana wahela sasa mdgo wangu alikua anataka amuoe huyo mtu sasa sisi tukaona hamfai nayuko kimaslahi kumbe ktk vikao vyoote tuanavyokaa mke wangu kumbe anayatoa nje tunayaskia kwa watu ambao nimashoga zake na baaadhi ya watu amekuoa nao karibu ukifuatilia kiundani unakuta yanakweli kabisa maana vikao tulikua watu wachache muhimu nayeye akiwemo..ikabidi mimi nianze uchunguzi wangu ktk uchunguzi wangu kuna sku nlimuomba sm yake nipige picha document nkasema ngoja niperuzi nikakutana na sms nyingi sana ambazo alikua anachati na huyo hawala wa mdgo wangu ambae familia nzima tunampiga vita kumbe mke wangu yeye akawa anamuhadhia yoote na sms nying akawa anampa ushauri nahata kudoza mambo au tabia za wazazi wangu kwahuyo mwanamke....nkajiuliza huyu vip mtu amabae sis tunampiga vita alafu ndo achati nae mda wote ...siku nkakaa nae nakamuelezea kuwa ww hua unamwasiliano na mtu flani maana anatangaza habari zote za humu ndani anazipata lakini mke wangu alikataa katakata wakat minajua fika wanawasiliana
Vile vile ktkt vikao vya sisi wandani tu tulivyokua tunakaa nae akiwemo kujadili harus mamabo tunayojadili baada ya muda utayaskia nje ukiyaangalia unakuta anahio tabia
Pia lingine nimemchunguza kwa kina amekua simchungu sana wahela anatumia sana kuvaa hakuna hata siku ananishauri mambo ya msingi kimaendeleo zaid yakuzungumiza habari zawatu
Pia maekua natabia yakupita kwao mara kwa mara maana kwao nimtaa watatu kutoka tunapoishi yaani hata awe anaenda sehemu ya juu napalipo kwao lazima atapitia kwao pabila sababu yoyote hakuna anaeumwa kwao na sm zipo....tangu masakata yoote haya amekua mtu wakunilazimisha kuhama hali yakua nimemuelezea hali halisi .j
Jingine kubwa tangu tuoanae hajawahi kukaaa na mim kunielezea matatizo yake anayoyapitia zaid huwa nikiondoka tu atatuma sms nyingi sana zakulaumu lakini nkirudi nkimbembeleza tuongeee hakubali katakata ye amekua nimtu wakunambia mlalamiko yake kwa sms nasi kwamazungumzo yamdomo anakwa ana mim nayeye
Niishie hapo wanajamiiforum naombeni mawazo yenu katika hili
Mbona mmejazana hapo nyumbani kwa wazazi wako?
Acha ujinga kwanza, toka hapo nyumbani, nenda kapange kwako haraka sana...
Hata sijamaliza kusoma habari yako, tatizo hapo ni huo mlundikano.... Baba mkwe, mama mkwe, mdogo mtu na mkewe, wewe na mkeo, sijui nani na nani tena....
Toka hapo upesi sana na mkeo nenda ukapange hata kama itakua ni chumba kimoja na choo cha nje, ndoa yako itakua na amani zaidi, niamini mimi brother!! Fanya hivyo kwanza haraka sana, kabla ya chochote.
malembeka18
 
malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
1,172
2,000
Nimesoma kidogo tu. lkn nilipogundua mnaishi kwenu nadhani solution ni kuhama.
Madhara ya kuishi home hayo.

Kwa kifupi anataka muhame. Embu jiongeze we nae.
Mkuu nshajiongeza kuhusu hilo nanyumba yangu iko mwishoni kabisa kuisha nawife anaijua hiyo hali nashangaa amekua niwavitimbi sana kwavitu ambavyo anajua anamda mfupi tu wakukaa ukweni
 
black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
17,256
2,000
Hata Malkia yamemshinda kukaa na watoto wake pamoja na wajukuu
Yaani kuwaweka wanawake nyumba moja ni time bomb
Maneno na kusutana baina ya wakwe na wake zenu hayataisha kama hutaanza kutafuta maskani yako wewe na mke wako
Ila kama ndio mila zenu kukaa na mama itabidi uvumilie tu
Wewe ni mwanaume inabidi upuuzie kabisa mambo haya ya kike kwani sisi tupo tofauti
Kwa ushauri wangu ungetafuta hata kibanda mkajistiri na mke wako na mama mumuache kwake
 
mkorea

JF-Expert Member
Aug 16, 2016
3,107
2,000
Huu Uzi wenyewe ni umbea tosha, ndege hawezi kubadili rangi yake tabia ya mtu haifundishwi
 
malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
1,172
2,000
Dah
Hivi unajisikiaje kuishi kwenu na mkeo?

Una ulemavu?
Hapana mkuu kila kitu kiko poa mjengo uko mwishoni kukamilika kama miezi miwili imebaki kuisha kabisa nakuhamia na nawife anajua hilo nashangaa kwanini kawa gafla hivi
 
RReigns

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
16,778
2,000
Mkuu nshajiongeza kuhusu hilo nanyumba yangu iko mwishoni kabisa kuisha nawife anaijua hiyo hali nashangaa amekua niwavitimbi sana kwavitu ambavyo anajua anamda mfupi tu wakukaa ukweni
Unaishi vipi kwenu na mke we nae mkubwa mzima.
Nature ya wanawake hiyo.
Pambana mtoke hapo.
 
malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
1,172
2,000
Unaishi vipi kwenu na mke we nae mkubwa mzima.
Nature ya wanawake hiyo.
Pambana mtoke hapo.
Nshapambana atoke...ktk kipindi choote nimechokua nae nimeona mara nyingi sana kubwa kwake hata akiwa anazungumza nasimu nandugu zangu au zake kuwapa habari yajambo fulani ambalo na mim nalifahamu fika unaona anazungumza na vitu visivyokuepo vya umbea kushadadia kuongezea chumivi hali yakua ni jambo dogo sana imepeleke baada ya ndgu kuliona hilo kama ambavyo mim naliona ndo maana nkaja kwenu kupata hekma zakuishi na mtu wanamna hii nakumbadili kidgo kidgo juu tabia kama hizi
 
Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Aug 23, 2010
4,772
2,000
Mkuu nimesoma mwanzo mpaka mwisho ingawa kwa tabu sana.

1. Hama kwenu kakae hata chumba kimoja na mkeo.
2. Mpe mimba mpate mtoto.
3. Mkanye mkeo mkiwa wawili usiache wazazi wawasaidie hata ishu ndogo.
4. Mpende mkeo na waheshmu wazazi wako.
5. Narudia hama kwenu na nenda mbali kaanze maisha....
Mimi nimeoa takribana miaka3.9 sasa mimi na mke wangu tunaishi nyumbani kwa wazazi wangu kwa miaka yote hii tangu tuone hadi hii leo..kilichonileta kwenu jf hivi
Wiki tatu zilizopita mdogo wangu alikua anaoa na baada ya kuoa tunaishi nae hapa nyumbani yeye na mke wake mdogo waliolea mkoa mwingne hivo basi wakati wa harusi biharusi alisindikizwa na somo yake kwaiyo nae somo tulikua nae ktk nyumba hii sasa baada ya kumtawisha kesho yake somo akahitaji kwenda kumnunulia vitu sokoni biharus ikabid mama yngu mzazi amwambie mke wangu msindikize sokoni sasa kwa maelezo ya somo wakati wanaenda sokoni mke wangu akawa anamuelezea somo mambo ya nyumba hii kuhusu wakwe akawa anamwambia kuwa hawa wakwe ni wabaya wanaroho mbaya wananinyanyasa sjui kama ndgu yenu ataweza kuishi humu ndani basi somo anasema hakuongea chochote...baada ya somo kuondoka kurudi kwao somo alimfuata mshenga wetu waharusi ambae alikua anatuwakilisha huko akamuelezea yoote alioambiwa na mke wangu kuhusu wakwe zake......yule mshenga ambae ni ndgu ikabid ampigie sim kumuelezea hizo habari mke wangu,mke wangu akakataa katakata kuongea akabaki analia tu nakuna maneno mke wangi akamwambia mshenga hakuyapenda hiyo alimwabilia kwa sms ikabid mshenga akawaelezea wazazi yoote alioambiwa na somo ikabid tuweke kikao ambacho skua najua nicha nini ila wazazi tayar inaonekana walikua washakaa wenyewe wameonge ila kikao ikawa nikufahamishana mambi ya ndani yasiwe yanatoka nje wala nje yasiwe yanaingia ndani
Sasa baada yakikao mke wangu akawa mnyonge sana akawa najitenga na mama mkwe wake na pia akawa anjitenga na mke mpya wa mdogo wangu hivyo ikapelekea wazazi kuona mabadiliko yake hayo yoote yanatokea hakuwahi kukaka au kuwaomba wazazi wangu wakae waongee nae kuhusu hizo habari zikoje koje lakini mke wangu walaa hana habar wakuwaza kukaa...mamabo yakawa yanaendelea kumbe nje akienda kuhemea sokoni mke wangu anawahadhia wamama wasokoni kuwa amezushiwa mambo kwamba amewasemea wakwe zake kwa watu kuwa wa roho mbaya wanamtesa hayo mambo kumbe wale wanohadithiwa nao wanayaleta wanaambia ndgu zangu na hata baadhi wanamwambia mama yangu juu ya hayo maneno kuwa wanamtesa wanaroho mbaya na siku akihama kwenda kwake atafanya sherehe
Ikawa sasa mke wangu anajitenga nawazazi wangu na pia anajitenga na mke mpya wa mdogo mim binafsi hali hiyo niliiona nkawa nambembeleza sana kwa upendo anambie lakini katakata kagoma kunambia kulikoni zaid anakua nikulia mda wote analia tu..
Baada ya siku tatu hivi tena akiwa anatokea sokoni mke wangu akiwa kashika kitu mkononi akakutana namama yngu,mama akamuuliza hiko nin mke akasema kitenge cha harus ya jirani mama akamwambia kwaiyo utakua unashona sare kila harusi utakayo alikwa maisha hayako hivo mwanangu usiwafurahishe watu kwani ukihudhuria nakutoa mchango utapungukiwa nini maana harus yetu haijapita wiki mbili tumeshona majuzi hapa kwa jirani umevaa sare na leo unaenda tena kushona sare ya hiyi harus ya mtaa wa tatu sasa maneno yakamwingia mke wangu hakupenda hakufutahishwa na hiyo nasaaa..kumbe baada ya masaa matatu nyumbani walikuepo bado wapo wageni wakike waupande wa baba yngu waliokuja kwenye harusi ambao mke wangu alikua nao karibu sanaa akafika anawahadithia kimafumbo kuwa kuna watu hawapendi hela zao kuliwa wanuchungu na hela zao kumbe mama alikua chooni anaskia kutoka nje baadae akawauliza wale ndgu kuwa mlikua mnaongea nini wakamuhadhithi yote baadae mama kumuliiza akasema nikweli niliyasema baada ya sku tatu tena mke wangu akaenda kumwambia shangazi yangu tunaishi nae jirani akamwambia kazushiwa mambo juu ya wakwe zake hapo hali yakua mke wangu hata hajakaa na wazazi wangu kuwaelezea ikoje ikoje hiyo kitu zaid anayapeleka nje kwa watu
Sasa wakati kabla ya harus ya mdogo wangu kulikua na sakata zito sana linalomuhusu mdogo wangu na hawala ambae alimpelekea mdogo wangu kfanya ubadhilifu mwingi sana wahela sasa mdgo wangu alikua anataka amuoe huyo mtu sasa sisi tukaona hamfai nayuko kimaslahi kumbe ktk vikao vyoote tuanavyokaa mke wangu kumbe anayatoa nje tunayaskia kwa watu ambao nimashoga zake na baaadhi ya watu amekuoa nao karibu ukifuatilia kiundani unakuta yanakweli kabisa maana vikao tulikua watu wachache muhimu nayeye akiwemo..ikabidi mimi nianze uchunguzi wangu ktk uchunguzi wangu kuna sku nlimuomba sm yake nipige picha document nkasema ngoja niperuzi nikakutana na sms nyingi sana ambazo alikua anachati na huyo hawala wa mdgo wangu ambae familia nzima tunampiga vita kumbe mke wangu yeye akawa anamuhadhia yoote na sms nying akawa anampa ushauri nahata kudoza mambo au tabia za wazazi wangu kwahuyo mwanamke....nkajiuliza huyu vip mtu amabae sis tunampiga vita alafu ndo achati nae mda wote ...siku nkakaa nae nakamuelezea kuwa ww hua unamwasiliano na mtu flani maana anatangaza habari zote za humu ndani anazipata lakini mke wangu alikataa katakata wakat minajua fika wanawasiliana
Vile vile ktkt vikao vya sisi wandani tu tulivyokua tunakaa nae akiwemo kujadili harus mamabo tunayojadili baada ya muda utayaskia nje ukiyaangalia unakuta anahio tabia
Pia lingine nimemchunguza kwa kina amekua simchungu sana wahela anatumia sana kuvaa hakuna hata siku ananishauri mambo ya msingi kimaendeleo zaid yakuzungumiza habari zawatu
Pia maekua natabia yakupita kwao mara kwa mara maana kwao nimtaa watatu kutoka tunapoishi yaani hata awe anaenda sehemu ya juu napalipo kwao lazima atapitia kwao pabila sababu yoyote hakuna anaeumwa kwao na sm zipo....tangu masakata yoote haya amekua mtu wakunilazimisha kuhama hali yakua nimemuelezea hali halisi .j
Jingine kubwa tangu tuoanae hajawahi kukaaa na mim kunielezea matatizo yake anayoyapitia zaid huwa nikiondoka tu atatuma sms nyingi sana zakulaumu lakini nkirudi nkimbembeleza tuongeee hakubali katakata ye amekua nimtu wakunambia mlalamiko yake kwa sms nasi kwamazungumzo yamdomo anakwa ana mim nayeye
Niishie hapo wanajamiiforum naombeni mawazo yenu katika hili
 
big_in

JF-Expert Member
Sep 26, 2013
4,509

Je umekwenda shule?
 
Hannah

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
5,091
2,000
Sijamaliza kusoma yote lakini jee anayoyasema kwa watu ni yakweli au ni ya uongo? Umbea wake ni wakweli au wakutunga?
Ukishaoa hama na mke wako mkajenge familia yenu ninyi wawili achana na mambo ya ndugu wazazi nk.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom