GRAMAA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,326
- 4,242
INAUMA SANA.
Kuna mama mmoja ni mtu mzima tu jilani yangu kila jumapili saa kumi na moja mumewe akitoka kwenda kanisani yeye muda huo huo huingiza mwanaume mwingine ndani.
Jumapili ya leo nimeshuhudia tena, ile mume wako alivyotoka tu kwenda kanisani mida kama ya saa kumi na moja asubuhi na yeye muda huo huo akamuingiza jamaa ndani na wakafunga mlango
Imekuwa ndiyo mchezo kila jumapili na watu kibao wameshastukia mchezo mzima.
It pains so deeply kuona mwanaume mwenzako akitendewa haya.
Wanawake ni watu wa ajabu sana.