Habari,
Kama kijana wa kiume mwenye uwezo wa kuzaa lakini sitotaka mtoto katika dunia hii kwa sababu zifuatazo;
Sitaki kupoteza zaidi ya miaka 20 yangu kulea kiumbe.
Kulea mtoto mpaka aweze...
Wana nzengo,
Habari ndio hiyo, nimepata kabinti kazuriiiiii, kasafiiiiiii.......
Dah...... nimekapenda hadi nimepitilizia Kigoma mwisho wa mataruma.
Kikubwa hapa, sijui ni pendo sijui ndio uzee...
Wakuu ,leo nina furaha san,
Nimeshinda kesi dhidi yangu na Eliza,
Na nitakuwa namiliki kila kitu na amepigwa na faini juu ,maana ameonekana kama ni mwizi,
Hahaaaaaa haaaaaaa,
Usiku mwema kwenu...
Nishauri tu kwamba kama wewe ni msichana umezaa na mwanaume ikatokea amekukwaza hakutaka kulea mtoto na mvulana umempa msichana ujauzito usimkimbie na usimfanye ajione kama alikosea kuwa na wewe...
Tuko mwaka wa pili sasa katika mahusiano na huyu kigori.
Ila hatujawahi kukutana nae kimwili hata mara moja.shida ipo kwake yaani hataki kabisa hilo suala kila siku nikumuomba anasema nivute...
Habari wakuu!
Leo nimeenda hospitali moja! Nikakutana na jamaa tuliyesoma wote miaka hyoo!!
Nikakuta anajaribu kumweleza mwenzako kuhusu habari ya vinasaba (DNA). Jamaa ikawa haelewi Dokta...
Mapenzi yana nguvu sana hasa kama Hujawahi kuumizwa, lakini katika Makosa yote mtu hasa mwanaume anaweza kuyafanya kwenye mahusiano bhasi ni KUOMBA MSAMAHA kwa kosa ambalo sio lako ili mradi tu...
🙈🙈 Sasa iko hivi, mimi ni msichana mwezi wa kumi inshwallah natimiza miaka 19 kamili. Mimi nimeanza kuangalia porn tokea niko na miaka 13. Sasa ikafika kipindi nikiangalia hizi porn za jinsia...
Jamaa mmoja ambaye jina lake halikupatikana wa nchini Urusi ametoa kali baada ya kuamua kufunga ndoa na PIZZA
Jamaa kaamua kufikia uamuzi huo baada ya kuchoshwa na usaliti aliokua anafanyiwa na...
Wadau leo nimekutana na changamoto moja kali ambayo mpaka sasa nimeahindwa kuitolea ufumbuzi ...iko hivi kuna rafiki yangu anafanya kazi kwenye NGO moja hiv ..
Kiuchumi anajiweza sana tena si...
Miaka kama mitatu hivi nilitembea vyuo vikuu vingi hapa nchini, nilishangaa kukuta mabinti wengi ni wajawazito, nilivyouliza kunani wakasema ni fashion, wengi nilichukua mawasiliano yao kwa lengo...
Kama wazazi, sio jambo geni kuona watoto, hasa waliofuatana, wakigombana mara kwa mara na wakati mwingine kupigana kabisa na kufanyiana vitendo vya kukomoana. Wengi wetu tunaweza kukumbuka matukio...
Kuna jirani yangu hapa mtaani nimeishi naye vizuri tu kwa muda mrefu,
Kuna siku alinifata hapa nyumbani na alikuwa na shida ya pesa shilingi laki 5 taslim, Kwa kuwa nilimuamini nikampa vizuri tu...
Nauliza tu sio kwa mabaya unajua sisi wanaume huwa hatupendi bwembwe kwenye maisha yetu, tofauti na hawa viumbe walioteta na nyoka kule Edeni
Kufanya sherehe ya harusi ni jambo jema sana lakini...
Nashindwa kuelewa kuhusu ili jinamizi linalotukumba sisi ma handsome boys maana tunaongoza kudate na wanawake vimeo wasiokuwa na mvuto kabisa sijui tunakwama wapi aisee!inabidi tuitishe kikao cha...
Wanaume kwa wanawake hebu tujuzane hapa. Ni nini hasa unampendea mpenzi/gf/bf/mke/mme wako?
Inawezekana dunia ya sasa tunakosea vipaumbele vya msingi kwenye mahusiano ndio maana mahusiano ya siku...
Baada ya kukaa mjini mda mrefu mwezi ulopita niliamua kwenda kijijini kuwasalimia wazazi. Katika mizunguko ya hapa na pale hapo kijijini nilikutana na rafiki angu wa toka kitambo japo sikua na...
Hii ipo sana, wanaume tusiokuwa wazungumzaji ktk kutongoza huwa ni shughuli pevu sana [emoji16],ila Mara nyingi tunapendwa na wanawake waongeaji sijui kwa sababu zipi, ikitokea tumemuelewa...
Beatrice Acen kutoka wilayani Apac nchini Uganda, Moses Okot (46) anauguza jeraha baada ya mkewe kumkata uume kwa madai ya kukosa unyumba.
Ingekuwa ndio mimi nimekatwa 'uume', lazima ningekata...