Tamaa za ngono zinanitia fedheha.

Tamaa za ngono zinanitia fedheha.

jieleze vizuri usaidiwe tamaa hiyo,
inaanza vip
unaitumiaje
kwa viumbe vya namna gani
TUANZIE HAPO KWANZA!!
 
ndio
tena ungekuwa hizi nchi za wenzetu walioendelea unakuwa branded kabisa...
na hautaka uajiriwe tena,nobody hire weirdo..........
 
Funguka ueleweke we boya unaleta habari nusunusu mazafanza fakeni shiti kama ugeuzwi au haubaki sioni kama kuna shida
 
kwa trend hii naweza kushtakiwa kwa ajili ya sexual harassment.
Msaada. Vyakula gani nitumie au lifestyle gani niishi ili kupunguza matamanio ya ngono.
Mtafute slow slow akupe kazi ya kusifia chama cha kijani kwa nguvu zote ili usiwe na muda wa kutamani kupauwa
 
Nimepambana na papuchi 4 tofauti kwa miezi 3 mfululizo nimejikuta nipo hoiiii.Sina hamu kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom