Kuzaa na wanawake wengi vs kuzaa na mwanamke mmoja Comperative advantage

Manofu

JF-Expert Member
Nov 3, 2018
1,317
2,019
Sipo kwenye ndoa japo najiandaa kuwa namke. Niwe mkweli nikwamba nimeishapata mtoto wa nje tatizo langu kubwa nikushindwa kufikia maamuzi ya yupi nimuoe.

Mdada niliyezaa naye miaka mitatu iliyopita hajaolewa bado nayupo mkoa mwingine, uku nilipo mm kuna mdada Niko na mahusiano naye sasa ugumu unakuja kwenye kufanya uwamuzi.

Mosi, hivi kwa mfano ukazaa na mwanamke mmoja watoto wako wote alafu familia ya mwanamke labda kuna tatizo la ugonjwa wa Sikoseli watoto wako wote siutakuwa unawa risk?

Je, kuzaa na wake wengi siinakupa wide range yakuchanganya damu za familia tofauti hvyo kuminimize risk yakuwa na failure za kimaisha kwa watoto wako uko mbeleni?
 
Watu wangapi wanaumwa sickle cell?.

Failure za kimaisha kwani ukizaa wengi ndo uhakika kwamba hazitokuwepo?.

Au unataka kuhalalisha mitala?dini yako inaruhusu?.
 
Mimi hayanihusu ishi utakavyo kuishi . Nitazaa watoto na mke wangu mmoja wa ndoa niliyepewa na Mungu .
 
Back
Top Bottom