Kwa nini Watanzania wengi tuko hivi?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,108
115,842
Watu wengi walioshi nchi za nje ya Tanzania
hata nchi za Africa tu kama sisi wanasema hiki kitu
tunacho zaidi watanzania..ni kama utamaduni hivi''

Ntakupa mifano hai ambayo binafsi nimeshuhudia..
kuna office nilikuwa nafanya kazi..kulikuwa na jamaa
mmoja office nzima 'anajulikana' kwa uvivu
kutokuja kazini...anaweza kuja kazini siku mbili tu kwa wiki
na akija anakuja kuomba ruhusa anaumwa...

sasa cha ajabu watu wote waliokuwa wanamlalamikia hawataki
kumripoti kabisa kwa HR...HR alikuwa ofisi ingine hapo ni kama branch hivi....Nilipoamua mimi kumripoti jamaa kilichotokea
wale waliokuwa wanalalamika wote wakanishangaa mimi
kwa 'roho ngumu' na ukatili wa kutofikiria jamaa akifukuzwa kazi
familia yake itateseka.....nikabaki mdomo wazi....hii culture ya unafiki mbona tunayo sana?

Nyingine mtaani...kuna mtaa tuli organize Ulinzi hapo mtaani
tukaajiri watu wa kulinda tunawalipa..kwa kuchanga kila nyumba....kilichonishangaza kuna baadhi ya watu walipokuwa
hawalipi...na watu wengi wanalalamika chinichini...
siku moja nikawataja tu wasiolipa waziwazi huku wapo wanasikia
wale walikuwa wanalalamika wakageuka kuwa nilichokifanya
sio kizuri...tungewavumilia tu hadi wangeona aibu wenyewe..
dah kwakweli hapo nikabaki tena mdomo wazi na huu utamaduni wetu wa unafiki..kitu kinakukera hutaki kuonekana
unakereka..saa zote unataka kuonekana mwema kwa kila mtu..

nimejiuliza sana why sisi watanzania huu utamaduni tunao sana?
 
IMG_3569.JPG
 
tunalelewa na kufunzwa katika maadili ya jamii yetu kuwa tunapaswa kuwa 'real', Lakini ukitaka kuchukiwa on the same same society, try being 'real'..!!

Nashindwa kabisa kuelewa where are we supposed to stand??
 
Back
Top Bottom