Nahitaji mwanamke aliye tayari kwa ajili ya ndoa

Yenga08

JF-Expert Member
Jul 7, 2019
464
891
Habari zenu wana janvi., narudi kwa mara nyingine hapa janvini kwa ajili ya kutafuta mwanamke wa maisha yangu.
Mwanamke mwema/ndoa hakuna pahala sahihi ambapo unaweza kumpata ila ni sehem yeyote.

Sifa zangu ni kama ifuatavyo:
Dini mkiristu,
Mweupe mrefu,
Elimu degree ya uhasibu,
Kazi yangu biashara ya mazao huku kanda ya ziwa.
Kabila Msukuma.
Kwa mengineyo mtu atayapata tutakapoanza mawasiliano

Sifa za mwanamke ninayemhitaji:
Umri kuanzia miaka 18 mpaka 33,
Elimu kidato cha 4 mpaka chuo kikuu,
Awe mrefu kiasi,
Mweupe au Mweupe kiasi yaani maji ya kunde,
Awe mcha Mungu na awe mkiristu,
Akitokea kanda ya ziwa itakuwa vyema zaidi hususan Msukuma.
Nimesema hivyo kwa sababu nipo kanda ya ziwa kwa mda mrefu nanimependezwa sana na maisha ya hawa wasukuma ikiwemo mila na desturi zao.
Hata kama huna Kazi unakaribishwa maana naamini wew ni msaidizi juu ya hii Kazi niifanyayo.
Nawakaribisha sana an ahsanteni saana na karibuni sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom