The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,806
Kwa kweli najiuliza maswali ambayo labda wadau humu mtakuwa na majibu.
Mwanamke anatoa wapi na anapata wapi ujasiri wa kuwa na kufuga kitambi?
Mwanamke anakosa haya kabisa wala aibu anakuwa na kitambi na anatembea nacho bila wasiwasi wowote.
Yaani mwanaume aanze kazi ya kufukua mashine ilipo aanze kuitindua na mwanamke ameridhika kabisa mumewe au mpenzi wake kuhangaika kutafta mashine?
Wanawake mnatoa wapi ujasiri wa kua na vitambi?