Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna ule msemo wa kiswahili kua usior au kutongoza mwanamke siku ya sherehe kwa sababu siku hiyo kila mtu atakua kapendeza, amevaa vizuri, ananukia vizuri na pia amejiremba vizuri. Sasa mimi kwa...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Mke kakuta sms kweny simu yangu. Nimemtumia ndugu yangu ( wa kiume) tsh 12,000/- ( elfu kumi na mbili) Kagomba eti why sijamshirikisha. SERIUS??? kanuna, nami nimekasirika Mara tatu take na...
8 Reactions
67 Replies
5K Views
Hizi ni salamu kwa watu wote wenye tabia hizi, reference ni shemeji yangu. Shemeji yangu tabia yako ya kunipiga vizinga vya mara kwa mara inanikera sana, inanirudisha nyuma. Wewe una ajira yako...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
wapendwa JF's imenipendeza kuwawekea mada nyingine nyeti mezani ihusuyo mambo ya awali kuzingatiwa kabla ya kuingia katika ndoa:- 1.Sherehe ya harusi ni ya siku moja tu na ndoa ni ya maisha yote...
17 Reactions
32 Replies
5K Views
Nina mwanamke mmoja tuko kwenye mahusiano kwa muda sasa, toka awali nilimwambia haya mahusiano ni ya ku-buy time na huyu binti tumekua kwenye mahusiano ya on and off boyfriend and girl friending...
5 Reactions
60 Replies
6K Views
Kwanini wanawake huwa mnaamini ni kubrash tu juu juu au kichwa tu? Hii hali ya kujifanya kukataa mechi ini kwamba mnakua hamjajipanga kwa gemu au ni usumbufu mwsho wa siku kwenye mechi na...
4 Reactions
100 Replies
15K Views
Mwanamke ambaye anataka tendo kila siku, nyege anazo, mzuka full balaa lakini kila mkifanya aidha hafiki kileleni au anachelewa sana, sasa sielewi hupataje raha, kwa kweli sijapata kuelewa jinsi...
1 Reactions
19 Replies
7K Views
Habari wadau hapa nyumbani naishi na wazazi mimi namejiari katika biaahara ndogo ndogo hapa kwetu ni nyumba ya familia mimi nakaa mabanda ya uani maana bado nipo katika harakati za kupanga na...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Yes! Wengi wa ex girlfriend/boyfriends hufurahia moyoni waliyetengana nao akiwa mahututi katika mahusiano mapya hasa wadada! Utasikia, "nilisema mie, hawezi akaishi Kwa Amani na mwingine, kama...
10 Reactions
26 Replies
4K Views
wanaume wengi wamekuwa wakikutana na changamoto ya kuchunwa na wanawake ila nataka niwaambie kitu mwanamke anayekupenda hawezi kukuchuna lazima akujali na kuwa nahuruma na hela yako labda Kama...
10 Reactions
64 Replies
10K Views
Kwa binafsi mimi hapana , namba 2 kusinzia
1 Reactions
148 Replies
23K Views
Kimaadili inashauriwa hivyo ila je ni sahihi kweli kwa mume kumjua mke wake mara baada ya kufunga ndoa !? Au aonje tunda mapema ?
0 Reactions
20 Replies
2K Views
For a while nimekuwa nikisikia na kuona wakaka wengi, especially wale ambao wanataka kuoa wakilalamika "nina gari, nina nyumba, kazi nzuri, hela etc. But sipati mke wa kuoa". Yani hiyo statement...
6 Reactions
63 Replies
5K Views
Habarini wanajamvi na poleni kwa majukumu mazito. Leo ninataka kuruidisha shukrani kwa Mungu wangu kupitia ukurasa huu kwa sababu ya mengi maishani mwangu ila nitaomba kutaja mambo mawili tu kati...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Actually sipendi kumsema vibaya mama mzaa chema ila kuna mambo yalianza kunikera. huyu mama alikuwa ananikosea sana heshima. ikifika saa 4 usiku anampigia mtoto wake eti kumsalimia na kumtakia...
75 Reactions
335 Replies
46K Views
Ndg zanuni, Habari ya jioni hii ikiwa leo tarehe 29 Jumapili. Waungwana niende moja kwa moja kwenye mada. Mume wangu ananikwepa anitendei Haki katika kutimiziana mahitaji yetu ya...
3 Reactions
92 Replies
11K Views
Naomba radhi kama nitakuwa nimeongea kinyume na maadili. Najua jina langu lina akisi tabia mbaya lakini sitowacha kulisema hili kwa manufaa ya wengi. TWENDE Juzi jumamosi - dada mmoja ambaye...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Habarini wapendwa? Miaka mitatu iliyopita nilileta thread ikisema "usioe mwanamke masikini" Baada miezi 3 kuoa ndugu wa mwanamke walihamia nyumbani kwangu kutoka kijijini kwao walikuwa 11 wakiume...
13 Reactions
31 Replies
5K Views
Kuna watu wanadai ndoa za kanisani ndo zina complications nyingi na wadada wake ndo wanasumbua, wakidai jiran zetu wana make best wives. Nasema hivi havina uhusiano. Nyie tafuteni sababu nyingine
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Raha ya mtu kufanikiwa ipo kwenye kukubalika na kila mtu haswa wale wachache wanaojifanya hawamkubali mtu kirahisi. Watu wengi uangaika kutafuta kukubalika na wale wachache wanaowachukulia poa...
6 Reactions
12 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…