Huyu mtoto wa mjomba hana maadili

scatter

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
1,667
925
Habari wadau hapa nyumbani naishi na wazazi mimi namejiari katika biaahara ndogo ndogo hapa kwetu ni nyumba ya familia mimi nakaa mabanda ya uani maana bado nipo katika harakati za kupanga na kuanzisha maisha yangu

Juzi hapa kuna binti wa mjomba alikuja field mkoani kwetu nakumalizia likizo ya shule ;huyu binti ni mlevi sana na anavaa hovyo sana katika maisha yake ya kila siku kuna siku niliwasikia bi mkubwa akimuonya na kumuambia aache tabia za ajabu katika himaya ya hapa nyumbani pia ana tabia ya kuingia ndani kwangu bila ya kupiga hodi mida ya jioni anaporudi kutoka huko chuo

Wadau naombeni ushauri nataka nisiwe na mfungulia mlango mida ya usiku akirudi
 
Mpige Pumbu!
Wadau tusiwaze sana ngono tunatakiwa tuwaelimishe hawa watoto wa siku hizi sasa kila mtu akikimbilia kwenye ngono si itakua aibu una fumwa na wazazi wako na kujidhalilisha kuna wezatokea pia hakuna njia mbadala mdau?
 
Du kuna uzi tumetoka kuujadili juzi isipokuwa mwenzako analalamika kutegwa na toto la kike la baba mdogo wake,inaonekana hawa ndugu zetu wa kike wapewe tu wanachokitaka
 
Du kuna uzi tumetoka kuujadili juzi isipokuwa mwenzako analalamika kutegwa na toto la kike la mdogo wake,inaonekana hawa ndugu zetu wa kike wapewe tu wanachokitaka
Una maana utembee na ndugu yako.

Kwa mimi hapana
 
Habari wadau hapa nyumbani naishi na wazazi mimi namejiari katika biaahara ndogo ndogo hapa kwetu ni nyumba ya familia mimi nakaa mabanda ya uani maana bado nipo katika harakati za kupanga na kuanzisha maisha yangu ..juzi hapa kuna binti wa mjomba alikuja field mkoani kwetu nakumalizia likizo ya shule ;huyu binti ni mlevi sana na anavaa hovyo sana katika maisha yake ya kila siku kuna siku niliwasikia bimkubwa akimuonya na kumuambia aacha tabia za ajabu katika himaya ya hapa nyumbani pia ana tabia ya kuingia ndani kwangu bila ya kupiga hodi mida ya jion anaporudi kutoka huko chuo
Wadau naombeni ushauri nataka nisiwe na mfungulia mlango mida ya usiku akirudi
Unawezaje ku deal na wateja wasumbufu kama changamoto ya kipumbavu kama hiyo unashindwa ku deal nayo ?
 
Unawezaje ku deal na wateja wasumbufu kama changamoto ya kipumbavu kama hiyo unashindwa ku deal nayo ?
Wateja na waandikia kwenye daftari la madeni

Kuna siku huyu ndugu yangu kaja amelewa aliangusha mauno ya ajabu ndani kwani alikua akicheza mziki hapo ndio nilushituka kuwa huyu kuna baadhi ya mishipa hana kabisa kwenye ubongo
Nilitoka na kwenda nyumba kubwa kuepusha shari maana ile ni laaana aliokua anafanya
 
Back
Top Bottom