wanaume wengi wamekuwa wakikutana na changamoto ya kuchunwa na wanawake ila nataka niwaambie kitu mwanamke anayekupenda hawezi kukuchuna lazima akujali na kuwa nahuruma na hela yako labda Kama atagundua huna future naye. Mfano mzuri kwenye relationship yangu Mimi nimekuwa na uhusiano na demu mmoja ambaye anafanya kazi benki na Mimi ni mwanafunzi wa chuo huyu msichana hajai kuniomba hela yoyote tokea niwe nae.
Kuna siku moja nilimtoa kidogo out nilikuwa na Kama laki 3 hiv kwaajili ya kuspend Mara nikapata homa ya gafla nikawa sijisikii vizuri ikabidi mpenzi wangu anipeleke hospital na kila kitu alilipa yeye kuanzia dawa mpaka kupima Bila hata kumwambia afanye hivyo baada hapo tukagairisha mtoko wetu ikabidi anisindikize wakati tukiwa kwenye daladala akaniombea sit kwa mtu mmoja cos nilikuwa ninaumwa Sana jamaa akakubali na Wala sikumuomba demu wangu aniombee tukafika stendi ya home kwetu akaniaga anaenda home kwake nikamwambia Basi chukua elfu 10 hii ya nauli akachukua ila hela hiyo hiyo niliyompa akaninunulia matunda na samaki iliyobaki ndo akachukua kurudi kwake.
Nakumbuka siku ya happy birthday yangu alinialika home kwake ambapo alikuwa amepanga chumba kizima na analipa Kodi ya chumba laki moja kwa mwezi akaniandalia msosi wa nguvu ilikuwa ni wali wa maji,mchuzi wa loast ya kuku,nyama ya mbuzi iliyokaangwa,njegele na juice na siku hiyo akanipa zawadi ya saa na rubber.
NB: wanaume tujitahidi kwenye kuchagua wanawake unakuta demu anakuonesha mahaba wakati anataka hela alafu unajisifu unapendwa ebu jiulize Mara ya mwisho mpenzi wako kukufanyia Jambo zuri ni lini? Tuchukue taadhali Mimi japo nina demu mkali lakini demu wangu ananijali na ananipenda na Hana tamaa za hela.