Habari za wakati huu wakuu

Redpanther

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
2,813
3,766
Habarini wanajamvi na poleni kwa majukumu mazito. Leo ninataka kuruidisha shukrani kwa Mungu wangu kupitia ukurasa huu kwa sababu ya mengi maishani mwangu ila nitaomba kutaja mambo mawili tu kati hayo

1. Ninamshukuru Mungu sana kupata taarifa kuwa Ex wangu anaolewa. Alinipigia simu na kunijulisha namimi kwa furaha kubwa namtakia ndoa njema na yenye mafanikio makubwa na mengi

2. Ninamshukuru Mungu sana kusikia Ex wangu wa hivi karibuni ni mjamzito, na habari hizi nilizipata kutoka kwa rafiki yake wa karibu ambaye kulingana na ukaribu wetu(mimi na yeye) aliniibia hiyo. Huyu ex wangu tunawasilianaga na wakati mwingine tunapasha na kiporo. Ila kwa hii Mimba atakuwa shujaa mwingine amefanya yake. Hongera sana jamaa uliyempa mimba ex wangu.

Naishia hapo

Cc Mla vitumbua
 
Hahahaaahaaaa hata ma X kanyaga nasema kanyaga

Kweli mzee, tunafurahia matunda ya kuwa karibu na ex. Alfu kuna ex wangu kipindi nikiwa advance kaniunganishia demu. Sasa najiandaa kula mzigo kiulaini, mimi napata shida sana kuwaelewa wale ambao huwa wanawachukia maEx zao.
 
Back
Top Bottom