135 cry
Member
- Sep 22, 2019
- 45
- 35
Ndg zanuni,
Habari ya jioni hii ikiwa leo tarehe 29 Jumapili.
Waungwana niende moja kwa moja kwenye mada.
Mume wangu ananikwepa anitendei Haki katika kutimiziana mahitaji yetu ya kindoa(mwili)(kugegedana).
Kila siku napewa sababu akitoka kazini anajifungia chumba ambacho wana lala ndg zake wakiume nakusema kachoka sana na haitaji usumbufu ataki ata mazungumzo na ikitokea kanipa mkunyenge basi anamaliza yeye ananiacha natoa macho tu nakua bado nahitaji na sifiki kileleni.
Nimekuwa mtu wamawazo isitoshe hana dalili ya kuchepuka maana anawahi kurudi nyumbn sana na hata wikiend hatoki nyumbn pia simu yake ya tochi atumiwi ujumbe wowote zaid ya message za kubet na za voda na za mpesa uuuuuf! Nivute pumzi kwanza.
Kiukweli nimechoka kuomba penzi na kumwinda kila saa ,mawindo yasio na faida maana na mienzi mitatu sasa sijapigwa miti.
Ndoa ina miaka 2 .
Niko seriou waungwana naitaji ushaur makinika naitahi msaada naomben muweke utani pemben kwaleo.[emoji1317]