Hivi hiki ni chanzo cha ugomvi kweli??

Hivi hiki ni chanzo cha ugomvi kweli??

Daah!!! Hapo sasa ni mbuzi kala mbuzi. Ila kama ikivyoandikwa tuishi nao kwa akili.
 
Kuna vitu vingine unasema tu samahani mke wangu ilikuwa ni dharura, naahidi kukushirikisha, usinune, maana ukinuna unantamanisha kweli nikunanii mke wangu.

Kesho yake Tuma hata laki kama ni muhimu Ila futa massage. Jipunguzie stress mkuu. Zawadi ya maisha ni fupi.
 
Sawa mkuu

Back
Top Bottom