Wake zetu nini mnataka?

beevenom

JF-Expert Member
May 1, 2017
313
428
Yaani hawa wake zetu sijui wapendwe vipi,mtu anahudumiwa na mmewe lakini bado tamaa mbele yaaani ni shida tupu.

Wadau kisa chenyewe kinaanza kama hiv: Katika pita pita kufanya shopping nikafika duka anauza mwanamama,full ukaribisho nikamaliza manunuzi na kuondoka. Awamu nikapita mitaa ile nikafanya manunuzi na baadae bidada akasema acha namba ukifika mzigo mkali anijulishe. Kwa kweli kila mali mpya ikifika taarifa napata kwa meseji.

Picha inaanza leo nilitakiwa kwenda kubadili nguo kwani hazikuwa ok,nashangaa sms inatumwa mara wangu mambo vp? umeenda kanisani?. Vurugu tupu,baada ya kutoka dukani kwake anapiga hovyo hovyo simu daah!.

Kibaya zaidi jioni kaanza na meseji kibao yaani anajibebisha hovyo hovyo. Nikasema ngoja nimchekeche ubongo. Ile nagusia tu kuhusu pozi lake tayari kajaa na anasema kitu yake akinipa sitamuacha khiiiii. Nikamkomalia inabidi nichimbue mgodi,yeye full kufurahi na anasema atanambia lini nitaingia shimoni kutoa madini.
Yaani nasikitika saana kwa kweli,mmewe kajichangachanga amfungulie duka yeye anawaza kupigwa mipini. Hii haifai hata kidogo,akina dada tuhurumieni jamani hata kama hatuwatombhi vizuri mtueleze tujirekebishe jamani.

Inaumiza saana wanazengo
NB:
Msimamo wa baharia mimi ni kuwa hii sumu yangu simpi ng'ooooo akafie mbali huko
 
Usifikiri sana kuhusu mkeo, cha muhimu lea watoto kama umejaaliwa na hakikisha unasex nae japo mara tatu kwa weeek mengine achana nayo.
Kwa maisha ya sasa unaweza kujiua ukiwaza na kuchunguza sana mambo hayo
 
Wanaume usifikirie kumridhisha mwanamke.
Utakufa au kuua mtu pale utakapoanza kumfuatilia.
Tutimize interest zetu inatosha.
Wanawake ukimt.omba vizuri atahitaji pesa.
Ukijitahidi kumpa pesa atalalamika humt.ombi vizuri.
Tafuta pesa ujiridhishe mwenyewe tu.
 
Jamani leo mke wa ofisa mkuu ktk wizara fulani hapa Dodoma kalala kwangu mm kapuku. Nimekesha "namkwangua" usiku kucha. Mumewe yupo Dar ana mihela hatari lkn hagegedi ipasavyo kwasabb ya kitambi na umri
 
Wanawake wengi huwa hawajui wanachokitaka, wanataka mafanikio bila kujua yana-cost muda, nguvu na fedha!!

Mwanaume ukiwa na mafanikio lazima muda ubane, usipokuwa na mafanikio ndipo faraja inayokuwepo ni kugegeda!!
 
Hawaeleweki kabisa,yaani hata aibu hana daaah. Twafwaaaaah
Wanaume usifikirie kumridhisha mwanamke.
Utakufa au kuua mtu pale utakapoanza kumfuatilia.
Tutimize interest zetu inatosha.
Wanawake ukimt.omba vizuri atahitaji pesa.
Ukijitahidi kumpa pesa atalalamika humt.ombi vizuri.
Tafuta pesa ujiridhishe mwenyewe tu.
 
Jamani leo mke wa ofisa mkuu ktk wizara fulani hapa Dodoma kalala kwangu mm kapuku. Nimekesha "namkwangua" usiku kucha. Mumewe yupo Dar ana mihela hatari lkn hagegedi ipasavyo kwasabb ya kitambi na umri
Mkuu mke wa mtu sumu kali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom