Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,828
- 4,736
Habar wana jf? Nibaada ya kupokea kipgo kwa wazee wa kuweka mzigo nimechalazwa laki [emoji1787][emoji1787] hvyo tudiscuss hii maada, ngoja niende direct.
Unawezaje kummudu mwanamke anaye omba omba vitu hovyo? Yaan tumetongozana leo kesho mara oooh naomba hela nikasuke, mara chupi yangu ya utajiju imeisha mara naomba uninunulie dera mpenz, mara kesho kunashughuli [emoji1787][emoji1787][emoji1787], jaman hata kuomba misaada huwa ni step by step na mimi wanawake wa hivi huwa nawakimbia tu hamna namna coz malengo yangu stayafanikisha kabisaaa,
Mapema tu umechomoa betri mara hela ya lotion, kipindi sipo nan alkuw anakuhudumia?
Kafie mbeleeeeeeeeeeee.