Nawauliza nyie wadada...kwa nini mnapokuwa kwenye mahusiano kabla ya kuolewa huwa mnatoa ushirikiano mzuri,sarakasi za kila namna mpaka mwanaume anashawishika kukuweka ndani.Lakini baada ya kuishi...
Nimekuwa katika mitandao ya kijamii kwa muda mrefu saana, nimetembelea sehemu tofauti za starehe na burudani kwa muda mrefu saana, kwa kuwa mimi ni mkristo nimeenda kanisani saana ki uweli...
Mengi sana jamani ikiwemo kuchelewa kuoa au kuolewa, maana kuna ladha yake tofauti na ile ya taasisi
Hapa nazungumzia kusafiri kuifuta mbu..e
Kujiandaa kisaikolojia kwamba weekend hii napata...
Ilikuwa ngumu sana kutoka kwenye chama pendwa chaputa nilijarib mara nying sana ila niliishia kurudi chamani sasa yapasa miez 7 sasa nimetoka chamani nipo huru sasa
Watu wanaaminishana kuwa...
Mwanaume aliekamilika hapaswi kuivumilia tabia mbaya ya mpenzi au mke wako anayoirudia rudia mara nyingi ukiamini ipo siku atabadilika. Acha uboya mzee kama analeta dharau au matusi muonye mara...
Zilipita sekunde, dakika, masaa, siku, miezi na hatimaye miaka sasa tangu niachane na mwanamke niiyependana naye sana. Baada yake nimekuwa na mahusiano mengine kadhaa ambayo hayakuwa na msingi wa...
Sijui ni kampeni ya wanaume ya kuwapiga warembo mimba na kuwaacha kwao au nini, sijaelewa.
Siku hizi mabinti wengi warembo wamezalishwa na wako kwao, nashindwa kuelewa, hawa warembo hawana sifa...
Habari za wakati huu wana jamvi.. kuna mwanamke nilisha wahi kudate nae na tukaachana miaka 7 ilopita kisa hakieleweki hadi sasa.. ila chakushangaza anatabia ya kunitumia picha zake naombeni kujua...
Napenda kuwashukuru wana jf kwa ushauri wenu, pamoja na kwamba kuna watu ndani ya jf, wapo kwa ajili ya kupotosha na kukejeli na wao pia nawashukuru sana na Mungu awabariki. AMEN.
NIKIRUDI KWENYE...
Siku ya leo mbaya sana kwanza, kuwahi kutokea, yaani imekua mbaya mpaka ikaaribu na hali ya kesho.
Kiufupi nilikutana binti mmoja, ambae amemalza form 6 mwaka huu, nikampenda + kumtamani, ana...
Nyie acheni tu. Ni bora ushikwe na kichaa kuliko kushikwa na mke wa mtu; Ni bora ushikwe na Malaria kuliko kushikwa na mke wa mtu.
Ilikuwa Jumapili, mwanenu, siku hiyo nimeamka mapema mithili ya...
Mimi ni yule dada niliyetoka out na kaka wa Kitanga....
Hivi swali langu ambalo nililokuwa najiuliza kwa nini huyu kaka anapenda kumtumia shemeji yangu na kuniulizia kama naendeleaje, au kama...
Mambo vipi wakuu,
Jamani naombeni ushauri ni deal vipi na huyu mtu.
Mke wangu ananilazimisha kununua nyumba na uwezo wa kununua nyumba sina imekua ni kero la kufa mtu silali usiku kwa Ppessure...
Unajisikiaje pale unapoenda kumtembelea mtoto wako uliyezaa na x na kutokana na sababu ambazo hazikuweza kuzuilika ukajikuta hauwezi kuishi na mzazi wake pamoja na mtoto. Unamkuta yuko...
Ivi inakuwaje siku hizi mabinti wengi mkishaanzisha uhusiano nao kwa muda mfupi wanaanza kufosii ndoa unakuta mtu uhusiano wenu hata mwezi haujaisha binti anataka uende kwao ukajitambulishe ...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Habari wadau.
Nimekaa na wana hapa maeneo ya "Ujinga Hauishi".Mara akapita mtoto mkaliiiiiiiii wuuuuuuh!!!!!!Kama ilivyo ada,wadau tukathaminisha vima...
@nje ya dar, baba mngoni, mama mchagga.
..........finally i concluded kuwa STAKI mwanaume wa dar
1.Wengi ni watoto wa mama
2.Huko dar kila duka la dawa baridi (small pharmacy) lazima ukute...
Katika maisha yangu naskiaga tu na kuona baadhi ya wanaume wenzangu wana marafiki wa kike "just friends". Mimi sijawahi kuwa na rafiki wa kike eti "just friends" maishani mwangu.
Tatizo langu...