Habari wakuu
Mtu huyu kila mara ni balaa hamna usalama labda useme zipite siku 3 bila balaa upone lakini wapi
Nikiwasha mziki naupenda akisikiliza yale maneno anasema namkusudia yeye anakasirika hata siku 4 au wiki hapo sina nae matatizo
Haya jana nimemkuta mtotowangu wa kike wa miaka 8 kalala kajikunja kwa baridi nikamfunika ghafla kaja juu kwa nini unamfunika huna ruhusa wewe kumfunika mimi ndio mama yake tamfunika sasa yeye ananifikiria nini mimi kwa mtoto wangu wa kumzaa
Wazazi wangu au Ndugu zangu wakiomba msaada kutoka kwangu kwa mfano kuwafikisha na gari sehemu hapendezewi anakasirika hivi kuna mke kweli hapa jamani? Hii tabia ni mda mrefu habadiriki kabisa, nimejaribu kila njia kumuonyesha vipi watu wanaishi kwa kupendana hataki kuelekea sijui ni KIBURI sielewi.
Mimi hata siku moja sijawahi kuonyesha kama siwapendi wazazi wake au ndugu zake bado mimi ndio nawafurahia kweli. Sijui ana nini i m really TIRED of this women really.
Nombeni ushauri nimfanye nini huyu mtu kwa sababu nafikiria kumuacha.
Thanks