Matatizo 6 yanayowatesa wanaume.

Matatizo 6 yanayowatesa wanaume.

Innovator97

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
285
Reaction score
402
1. Kufika kileleni mapema
2. Kutumia muda mrefu sana kufika kileleni.
3. Kutokufika kabisa kileleni.
4. Kutoa shahawa chache.
5. Nguvu ndogo sana ya kumwaga shahawa.
6. Kukosekana/kupungua kwa msisimko wakati wa kufika kileleni.

Jawabu la matatizo hayo:
Kwa wanaowahi sana kufika kileleni wanaweza fanya tafuatayo, kutoa uume nje ya uke kila baada ya muda fulani, kutumia muda huo kuwaza mambo mengine, pamoja na kushiriki tendo hili mara kwa mara ili kujijengea uzoefu, kupunguza stress na kujiamini.

Kwa wanaopitia changamoto nyingine tano zilizobaki wanaweza kutafuta msaada wa uchunguzi hospitalini ili kujua chazo kikuu cha tatizo lao ni nini.

Kwa ujumla kila mwanaume anapashwa kula vizuri, afanye mazoezi, atunze uzito sahihi wa mwili, apunguze/aepuke matumizi ya pombe na sigara, apunguze/aepuke stress, apate muda mwingi wa kupumnzika na pia ashiriki tendo la ndoa mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom